Methali 1
Umuhimu wa methali 1 Hizi ni methali za Solomoni mfalme wa Israeli, mwana wa Daudi. 2 Methali hizi zawapatia watu hekima na nidhamu; zawafanya waelewe maneno ya busara, 3 zawafanya…
Umuhimu wa methali 1 Hizi ni methali za Solomoni mfalme wa Israeli, mwana wa Daudi. 2 Methali hizi zawapatia watu hekima na nidhamu; zawafanya waelewe maneno ya busara, 3 zawafanya…
Tuzo za hekima 1 Mwanangu, ukiyakubali maneno yangu, na kuyathamini maagizo yangu; 2 ukitega sikio lako kusikiliza hekima, na kuuelekeza moyo wako upate ufahamu; 3 naam, ukiomba upewe busara, ukisihi…
Mawaidha kwa vijana 1 Mwanangu, usiyasahau mafundisho yangu, bali kwa moyo wako uzishike amri zangu. 2 Maana yatakupa wingi wa siku, maisha marefu na fanaka kwa wingi. 3 Utii na…
Manufaa ya hekima 1 Wanangu, sikilizeni mwongozo wa baba yenu, tegeni sikio mpate kuwa na akili. 2 Maana ninawapa maagizo mema, msiyakatae mafundisho yangu. 3 Mimi pia nilikuwa mtoto mwenye…
Onyo dhidi ya uasherati 1 Mwanangu, sikia hekima yangu, tega sikio usikilize elimu yangu. 2 Ndipo utakapoweza kuhifadhi busara, na midomo yako izingatie maarifa. 3 Mdomo wa mwanamke mpotovu ni…
Maonyo manne 1 Mwanangu, kama umejitolea kumdhamini jirani yako, ikiwa umetoa ahadi yako kwa ajili ya mtu huyo, 2 umejibana kwa maneno yako mwenyewe, umejinasa kwa ahadi uliyofanya. 3 Ujue…
1 Mwanangu, yashike maneno yangu, zihifadhi kwako amri zangu. 2 Zifuate amri zangu nawe utaishi; yalinde mafundisho yangu kama mboni ya jicho lako. 3 Yafunge vidoleni mwako; yaandike moyoni mwako….
Wito wa Hekima 1 Sikilizeni! Hekima anaita! Busara anapaza sauti yake! 2 Juu penye mwinuko karibu na njia, katika njia panda ndipo alipojiweka. 3 Karibu na malango ya kuingilia mjini,…
Hekima na upumbavu 1 Hekima amejenga nyumba yake, nyumba yenye nguzo saba. 2 Amechinja wanyama wa karamu, divai yake ameitayarisha, ametandika meza yake. 3 Amewatuma watumishi wake wa kike mjini,…
Methali za Solomoni 1 Hizi ni methali za Solomoni: Mtoto mwenye hekima ni furaha ya baba yake; lakini mtoto mpumbavu ni huzuni ya mama yake. 2 Mali iliyopatikana kwa njia…