Methali 11
1 Mizani ya udanganyifu ni chukizo kwa Mwenyezi-Mungu, lakini matumizi ya kipimo halali ni furaha kwake. 2 Kiburi huandamana na fedheha, lakini kwa watu wanyenyekevu mna hekima. 3 Unyofu wa…
1 Mizani ya udanganyifu ni chukizo kwa Mwenyezi-Mungu, lakini matumizi ya kipimo halali ni furaha kwake. 2 Kiburi huandamana na fedheha, lakini kwa watu wanyenyekevu mna hekima. 3 Unyofu wa…
1 Apendaye nidhamu hupenda maarifa, bali asiyependa kuonywa ni mjinga. 2 Mtu mwema hufadhiliwa na Mwenyezi-Mungu, lakini mwenye nia mbaya hulaaniwa na Mungu. 3 Mtu hawi imara kwa kutenda maovu,…
1 Mtoto mwenye hekima husikia maagizo ya baba yake, lakini mwenye dharau hasikilizi maonyo. 2 Mtu mwema hupata mema kutokana na maneno yake, lakini wadanganyifu huishi kwa ukatili. 3 Achungaye…
1 Mwanamke mwenye hekima huijenga nyumba yake, lakini mpumbavu huibomoa kwa mikono yake mwenyewe. 2 Mwenye mwenendo mnyofu humcha Mwenyezi-Mungu, lakini mpotovu humdharau Mungu. 3 Mpumbavu hujiadhibu mwenyewe kwa kuropoka…
1 Kujibu kwa upole hutuliza hasira, lakini neno kali huchochea hasira. 2 Ulimi wa mwenye hekima hueneza maarifa, lakini watu wapumbavu hububujika upuuzi. 3 Macho ya Mwenyezi-Mungu huona kila kitu,…
1 Binadamu hupanga mipango yake, lakini kauli ya mwisho ni yake Mwenyezi-Mungu. 2 Matendo ya mtu huonekana kwake kuwa sawa, lakini Mwenyezi-Mungu hupima nia ya mtu. 3 Mwekee Mwenyezi-Mungu kazi…
1 Afadhali mkate mkavu kwa amani, kuliko karamu katika nyumba ya ugomvi. 2 Mtumwa mwenye busara atachukua nafasi ya mwana mpumbavu, atapata sehemu ya urithi wa jamaa hiyo. 3 Ubora…
1 Anayetafuta yake tu hujitenga na wenzake; hukasirika akipewa shauri lolote jema. 2 Mpumbavu hapendezwi na busara; kwake cha maana ni maoni yake tu. 3 Ajapo mwovu huja pia dharau;…
1 Afadhali maskini aishiye kwa unyofu, kuliko mtu mpotovu wa maneno na mpumbavu. 2 Haifai mtu kuwa bila akili; mwenda harakaharaka hujikwaa. 3 Mtu akijiangamiza kwa upumbavu wake, huielekeza hasira…
1 Divai huleta dhihaka na kileo huleta ugomvi; yeyote anayevutiwa navyo hana hekima. 2 Ghadhabu kali ya mfalme ni kama simba angurumaye; anayemkasirisha anayahatarisha maisha yake. 3 Ni jambo la…