Methali 21

1 Moyo wa mfalme ni kama maji yanayotiririka; Mwenyezi-Mungu, huuongoza popote apendapo. 2 Matendo yote ya mtu ni sawa machoni pake, lakini Mwenyezi-Mungu hupima mioyo. 3 Kutenda mambo mema na…

Methali 22

1 Afadhali kuwa na sifa nzuri kuliko mali nyingi; wema ni bora kuliko fedha au dhahabu. 2 Matajiri na maskini wana hali hii moja: Mwenyezi-Mungu ni Muumba wao wote. 3…

Methali 23

1 Ukiketi kula pamoja na mtawala, usisahau hata kidogo uko pamoja na nani. 2 Zuia sana hamu yako, ikiwa wewe wapenda sana kula. 3 Usitamani vyakula vyake vizuri, maana vyaweza…

Methali 24

1 Usiwaonee wivu watu waovu, wala usitamani kuwa pamoja nao, 2 maana fikira zao zote ni juu ya ukatili, hamna jema lolote litokalo midomoni mwao. – 20 – 3 Nyumba…

Methali 25

Methali zaidi za Solomoni 1 Hizi nazo ni methali nyingine za mfalme Solomoni walizonakili watu wa Hezekia, mfalme wa Yuda. 2 Mungu hutukuzwa kwa kuficha mambo, lakini mfalme hutukuzwa kwa…

Methali 26

1 Heshima apewayo mpumbavu haimfai; ni kama theluji ya kiangazi, au mvua ya wakati wa mavuno. 2 Kama shomoro au mbayuwayu wasiotua, kadhalika laana asiyostahili mtu haimtui. 3 Mjeledi kwa…

Methali 27

1 Usijisifie ya kesho, hujui nini kitatokea leo mpaka kesho. 2 Acha watu wengine wakusifu, kuliko mdomo wako wewe mwenyewe. 3 Jiwe ni zito na mchanga kadhalika, lakini usumbufu wa…

Methali 28

1 Waovu hukimbia japo hawafukuzwi na mtu, lakini waadilifu ni hodari kama simba. 2 Taifa la fujo huzusha viongozi wengi, lakini kwa kiongozi mmoja mwenye akili na maarifa huwa na…

Methali 29

1 Anayeonywa mara nyingi akawa mkaidi, ataangamia ghafla asipone tena. 2 Waadilifu wakitawala watu hufurahi, lakini waovu wakitawala watu hulalamika. 3 Apendaye hekima humfurahisha baba yake; lakini aandamanaye na malaya…

Methali 30

Mawaidha ya Aguri 1 Maneno ya Aguri, mwana wa Yake. Mawaidha ambayo mtu huyu alimwambia Ithieli, naam, Ithieli na Ukali. 2 Mimi ni mpumbavu mno, wala si mtu; nayo akili…