Mhubiri 11

Afanyavyo mwenye busara 1 Jishughulishe na biashara hata kama kwa kubahatisha; yawezekana baadaye ukapata chochote kile. 2 Wagawie watu saba hata wanane sehemu yako, maana, hujui balaa litakalofika duniani. 3…

Mhubiri 12

1 Umkumbuke Muumba wako siku za ujana wako, kabla hazijaja siku na miaka ambapo utasema: “Sifurahii tena vitu hivyo!” 2 Umkumbuke kabla ya wakati ambapo kwako mwanga wa jua utafifia;…