Sira 1

Sifa kwa Hekima 1 Hekima yote hutoka kwa Bwana, nayo imo kwake hata milele. 2 Nani awezaye kuuhesabu mchanga wa pwani au matone ya mvua? Nani awezaye kuzihesabu siku za…

Sira 2

Uaminifu kwa Mungu 1 Mwanangu, ukienda kumtumikia Bwana, uwe tayari kupata majaribu. 2 Uwe mnyofu wa moyo na nia moja; na usihangaike wakati wa taabu. 3 Ambatana na Bwana wala…

Sira 3

Wajibu wa watoto kwa wazazi 1 Wanangu sikilizeni mawaidha ya baba yenu. Fanyeni ninayowaambia, nanyi mtawekwa salama, 2 maana Bwana amewapa kina baba mamlaka juu ya watoto wao, na kuimarisha…

Sira 4

1 Mwanangu, usimpunje maskini mahitaji yake, usimtamanishe bure mtu aliye fukara. 2 Usimhuzunishe mtu mwenye njaa, au kumkasirisha mtu mwenye shida. 3 Usimzidishie matatizo mtu mwenye taabu, wala usicheleweshe sadaka…

Sira 5

Usiwe na majivuno 1 Usitegemee mali zako, wala usiseme, “Nina mali ya kutosha.” 2 Usiongozwe na tamaa yako na nguvu yako, katika kufuata tamaa za moyo wako. 3 Usiseme, “Nani…

Sira 6

1 Maana sifa mbaya huleta aibu na makaripio, kama yampatayo mwenye dhambi mdanganyifu. 2 Usikubali kutawaliwa na tamaa yako, la sivyo, itakuchana kama fahali, 3 itayakwanyua matawi yako ukapoteza matunda…

Sira 7

Mawaidha mengine 1 Usifanye uovu, na uovu wowote hautakupata. 2 Epa ubaya, nao utakukimbia. 3 Mwanangu, usilime ardhi kupanda udhalimu, la sivyo utavuna udhalimu mara saba. 4 Usiombe cheo kikubwa…

Sira 8

Kutumia akili 1 Usishindane na mtu mwenye uwezo, la sivyo utajikuta makuchani mwake. 2 Usigombane na mtu yeyote tajiri, la sivyo utajiri wake utakushinda mahakamani. Maana dhahabu imewaangamiza wengi na…

Sira 9

Wanawake 1 Usimwonee wivu mke umpendaye; utakuwa umemfundisha namna ya kukudhuru. 2 Usimwachie mwanamke ukuu wako, la sivyo atakutawala kabisa. 3 Usifuatane na mwanamke wa tabia mbaya, la sivyo utanaswa…

Sira 10

1 Mtawala mwenye busara huwaelimisha watu wake, utawala wa mtu mwenye akili una utaratibu mzuri. 2 Alivyo mtawala, ndivyo walivyo na maofisa wake; alivyo mkuu ndivyo walivyo na wakazi wa…