Sira 11
1 Ikiwa fukara ni mwenye hekima, anayo sababu ya kujivuna, tena ataketi pamoja na watu mashuhuri. Usiamue kwa sura ya nje 2 Usimsifu mtu kwa sura yake nzuri, wala usimdharau…
1 Ikiwa fukara ni mwenye hekima, anayo sababu ya kujivuna, tena ataketi pamoja na watu mashuhuri. Usiamue kwa sura ya nje 2 Usimsifu mtu kwa sura yake nzuri, wala usimdharau…
1 Ukitaka kutenda wema chagua mtu wa kumtendea; nawe utapata shukrani kwa wema wako. 2 Mtendee wema mcha Mungu nawe utatuzwa; utatuzwa na mtu huyo, au hakika na Mungu Mkuu….
1 Mtu yeyote agusaye lami atachafuka, na anayeshirikiana na mwenye kiburi atakuwa kama yeye. 2 Usikubali kubeba mzigo upitao nguvu zako, usishirikiane na mwenye nguvu na tajiri kuliko wewe. Chungu…
1 Heri mtu asiyekosea kwa ulimi wake; hahitaji kusikitika kuwa amekosa. 2 Heri mtu ambaye dhamiri yake haimshtaki, na ambaye hajakata tamaa. Matumizi ya mali 3 Si sawa kwa mtu…
1 Ndivyo afanyavyo mtu anayemcha Bwana; mtu ashikaye sheria zake atampata Hekima. 2 Hekima atakuja kumlaki kama mama, atamkaribisha kama bibi arusi wake. 3 Atamlisha chakula cha maarifa, atamnywesha maji…
Mungu atawaadhibu wenye dhambi 1 Usitamani kuwa na watoto wengi wasio na faida; wala kujivunia watoto wa kiume wasiomcha Mungu. 2 Wakiongezeka usifurahi kwa sababu yao, isipokuwa kama wanamcha Bwana….
1 Bwana aliumba binadamu kwa udongo na hukohuko udongoni binadamu atarudi. 2 Aliwapangia binadamu siku za kuishi, na kuwapa mamlaka juu ya vitu vyote duniani. 3 Aliwapa nguvu kama zake…
Ukuu wa Mungu 1 Yeye aishiye milele aliumba ulimwengu wote. 2 Bwana peke yake ndiye atendaye kwa uadilifu. [Na hakuna mwingine isipokuwa yeye. 3 Huuongoza ulimwengu kwa kiganja cha mkono…
1 Mfanyakazi mlevi hatakuwa tajiri. Anayepuuza mambo madogo ataanguka kidogokidogo. 2 Pombe na wanawake huwapotosha wanaume wenye akili; mwanamume afanyaye urafiki na malaya ni mpotovu kabisa. 3 Huyo mwisho wake…
Wakati wa kufaa kuongea 1 Mtu anaweza kukaripiwa wakati usiofaa; kuna ukimya ambao huonesha mtu ana hekima. 2 Afadhali zaidi kumwonya mtu kuliko kukaa na hasira. 3 Anayekiri kosa lake…