Sira 21

Dhambi 1 Mwanangu, je, umetenda dhambi? Usitende tena. Lakini omba msamaha kwa yale uliyotenda. 2 Ikimbie dhambi kama kumkimbia nyoka; maana ukimsogelea nyoka utaumwa. Meno ya dhambi ni kama ya…

Sira 22

1 Mtu fidhuli aweza kulinganishwa na jiwe chafu; kila mtu akimwona hufyonya kwa sababu ya aibu yake. 2 Mtu fidhuli aweza kulinganishwa na marundo ya mavi; kila mtu anayeyagusa huyakungutia…

Sira 23

1 Ee Bwana, Baba na Mtawala wa maisha yangu, usiniache niangamizwe na maneno yangu, wala usikubali nifanye makosa kwa sababu yake! 2 Laiti mawazo yangu yangechapwa fimbo, na moyo wangu…

Sira 24

Kuisifu Hekima 1 Hekima anajisifu mwenyewe, na kujitukuza miongoni mwa watu wake. 2 Atajisifu kwenye kusanyiko la Mungu Mkuu, atajisifu mbele ya jeshi lakena kusema, 3 “Mimi nilitoka mdomoni mwake…

Sira 25

Watu wanaostahili kusifiwa 1 Moyo wangu wafurahia mambo matatu; mambo yaliyo mazuri mbele ya Bwana na wanaadamu: Ndugu wanaopatana vizuri, jirani wenye uhusiano mwema, na mke na mume wanaoishi kwa…

Sira 26

1 Heri mume aliye na mke mwema siku za maisha yake zitaongezwa maradufu. 2 Mke mwaminifu ni furaha ya mumewe; mumewe ataishi kwa amani miaka yote. 3 Mke mwema ni…

Sira 27

1 Watu wengi wametenda dhambi kutafuta faida; anayetaka kuwa tajiri yampasa kuchunga macho yake. 2 Kama vile kigingi kilivyoshikiwa imara katika mawe ya nyumba, ndivyo dhambi ilivyoshikiwa imara katika kuuza…

Sira 28

1 Anayelipiza kisasi naye atalipizwa na Bwana, na Bwana atathibitisha kuwa mtu huyo ana dhambi. 2 Msamehe jirani yako maovu aliyokutendea, nawe unapoomba, utasamehewa dhambi zako. 3 Kama mtu akidumisha…

Sira 29

Kukopa na kulipa 1 Mwenye huruma humkopesha jirani yake; kumsaidia jirani ni kutimiza amri. 2 Mkopeshe jirani yako anapohitaji msaada, na ukimkopa jirani yako, mlipe mara. 3 Tekeleza neno lako…

Sira 30

Malezi 1 Mzazi ampendaye mwanawe, atamrudi mara kwa mara, ili amwonee fahari jinsi atakavyokua. 2 Amfunzaye mwanawe nidhamu, baadaye atafaidika naye. Atajivunia mwanawe mbele ya wanaofahamiana naye. 3 Anayemfundisha mwanawe…