Tobiti 1

1 Hizi ni habari za maisha ya Tobiti mwana wa Tobieli, mwana wa Ananieli, mwana wa Adueli, mwana wa Gabaeli, wa ukoo wa Asieli, wa kabila la Naftali. 2 Wakati…

Tobiti 2

Sikukuu ya jamaa 1 Basi niliporejea nyumbani kwangu na kupatiwa tena mke wangu Ana na mwanangu Tobia, niliandaliwa karamu kubwa wakati wa sikukuu ya Pentekoste, iliyo sikukuu takatifu ya majuma…

Tobiti 3

Sala ya Tobiti 1 Basi mimi kwa uchungu mkubwa nilianza kusononeka na kutoa machozi, kisha nikaanza kusali kwa huzuni: 2 “Ee Bwana, wewe ni mwenye haki, matendo yako yote ni…

Tobiti 4

Mawaidha ya Tobiti kwa Tobia 1 Siku hiyohiyo Tobiti akaikumbuka fedha yake aliyokuwa amemwachia Gabaeli kule Rage, nchini Media. 2 Basi akafikiri: “Kwa vile nimemwomba Mungu nife, yanipasa nimwite mwanangu…

Tobiti 5

Maandalio ya safari 1 Basi, Tobia akamjibu baba yake, “Baba mimi nitatimiza yote uliyoniagiza. 2 Lakini nitaipataje hiyo fedha kutoka kwa Gabaeli hali simjui? Nitampa kitambulisho gani aweze kusadiki na…

Tobiti 6

1 Basi, Ana akaacha kulia. Tobia akamata samaki Hapo, Tobia akifuatwa na mbwa wake, akaanza safari pamoja na yule malaika. Jioni ya siku ile ya kwanza ya safari wakawa wamefika…

Tobiti 7

Nyumbani kwa Ragueli 1 Walipowasili mjini Ekbatana, Tobia akamwambia Rafaeli, “Ndugu yangu Azaria, nipeleke mara moja kwa Ragueli.” Malaika akamwongoza kijana nyumbani kwa Ragueli, Wakamkuta Ragueli ameketi kando ya mlango…

Tobiti 8

Jini latimuliwa 1 Baada ya kula, wazazi wa Sara walimwongoza kijana Tobia chumbani kwa bibiarusi. 2 Tobia alikumbuka maagizo ya Rafaeli. Basi, akafungua mfuko wake, akatoa ini na moyo wa…

Tobiti 9

Safari kwenda Rage 1 Baada ya hayo, Tobia alimwita Rafaeli, akamwambia, 2 “Ndugu Azaria, chukua watumishi wanne na ngamia wawili uende mjini Rage, kwa Gabaeli, umpe hati hii yenye sahihi…

Tobiti 10

Mahangaiko ya Tobiti na Ana 1 Huko nyuma, kila siku Tobiti alikuwa akihesabu siku zilizohitajiwa kwenda Rage na kurudi. Siku hizo zikapita na mwanawe Tobia akawa bado hajarudi. Basi, Tobiti…