Tobiti 11

Kuwasili nyumbani 1 Basi, walipokaribia njia ya Kaserini, mkabala na mji wa Ninewi, 2 Rafaeli akasema, “Tobia, unajua hali tuliyomwacha baba yako; 3 yafaa tumtangulie mkeo, ili tukatayarishe nyumba kabla…

Tobiti 12

Malaika Rafaeli 1 Baada ya sherehe za harusi, Tobiti alimwita mwanawe Tobia, akamwambia, “Mwanangu, hakikisha kwamba unamlipa rafiki yako aliyesafiri nawe mshahara wake na kumwongezea kitu.” 2 Tobia akamwuliza, “Baba,…

Tobiti 13

Wimbo wa Tobiti 1 Basi, Tobiti akasema utenzi huu: “Atukuzwe Mungu aishiye milele, maana utawala wake wadumu nyakati zote. 2 Yeye huadhibu na kusamehe; huwaporomosha watu chini katika makao ya…

Tobiti 14

1 Hapa yaishia maneno ya shukrani ya Tobiti. Mawaidha ya mwisho ya Tobiti 2 Tobiti alikufa kwa amani mwenye umri wa miaka 112, akazikwa kwa heshima huko Ninewi. Alikuwa na…