Waamuzi 1

Waisraeli baada ya kifo cha Yoshua 1 Baada ya kifo cha Yoshua, Waisraeli walimwuliza Mwenyezi-Mungu: “Mwenyezi-Mungu, ni kabila gani litakwenda kupigana kwanza na Wakanaani?” 2 Mwenyezi-Mungu akawajibu, “Kabila la Yuda…

Waamuzi 2

Mwenyezi-Mungu anawagombeza watu wake 1 Malaika wa Mwenyezi-Mungu aliondoka Gilgali, akaenda Bokimu, akawaambia Waisraeli, “Niliwatoa nchini Misri na kuwaleta katika nchi ambayo niliwaahidi kwa kiapo babu zenu. Nilisema kwamba sitalivunja…

Waamuzi 3

1 Mwenyezi-Mungu aliyaacha nchini mataifa yafuatayo ili kuwajaribu Waisraeli ambao walikuwa hawajapigana vita katika nchi ya Kanaani 2 (alifanya hivyo ili awape watu wa vizazi hivyo ujuzi wa kupigana kwani…

Waamuzi 4

Debora na Baraki 1 Baada ya kifo cha Ehudi, Waisraeli walitenda tena uovu mbele ya Mwenyezi-Mungu. 2 Mwenyezi-Mungu akawatia mikononi mwa Yabini, mfalme wa Kanaani, ambaye aliishi huko Hazori. Kamanda…

Waamuzi 5

Wimbo wa Debora 1 Siku hiyo, Debora na Baraki, mwana wa Abinoamu, wakaimba wimbo huu: 2 “Viongozi walijitokeza kuongoza Israeli, watu walijitolea kwa hiari yao. Mshukuruni Mwenyezi-Mungu! 3 “Sikilizeni, enyi…

Waamuzi 6

Gideoni 1 Waisraeli walitenda uovu mbele ya Mwenyezi-Mungu; naye akawatia mikononi mwa Wamidiani kwa muda wa miaka saba. 2 Wamidiani waliwakandamiza sana Waisraeli, mpaka wakajichimbia mashimo na mapango milimani kuwa…

Waamuzi 7

Gideoni awashinda Wamidiani 1 Yerubaali, yaani Gideoni na watu wote waliokuwa pamoja naye waliamka mapema, wakapiga kambi yao bondeni karibu na chemchemi ya Harodi; kambi ya Wamidiani ilikuwa kaskazini mwao…

Waamuzi 8

Wamidiani wanashindwa kabisa 1 Watu wa kabila la Efraimu wakamwuliza Gideoni, “Kwa nini umetutendea hivyo? Kwa nini hukutuita ulipokwenda kupigana na Wamidiani?” Wakamlaumu kwa ukali. 2 Lakini Gideoni akawajibu, “Mambo…

Waamuzi 9

Abimeleki 1 Abimeleki, mwana wa Gideoni, akawaendea ndugu na wana wote wa kabila za mama yake huko Shekemu, akawaambia, 2 “Semeni papa hapa mbele ya wananchi wote wa Shekemu: Lipi…

Waamuzi 10

Tola 1 Baada ya kifo cha Abimeleki, Tola mwana wa Pua mwana wa Dodo, wa kabila la Isakari, akatokea kuwakomboa Waisraeli. Tola aliishi Shamiri katika nchi ya milima ya Efraimu….