Waamuzi 11
1 Huko Gileadi kulikuwa na mpiganaji hodari aitwaye Yeftha, mwana wa mama mmoja malaya, na baba yake aliitwa Gileadi. 2 Gileadi alikuwa pia na wana wengine kwa mke wake wa…
1 Huko Gileadi kulikuwa na mpiganaji hodari aitwaye Yeftha, mwana wa mama mmoja malaya, na baba yake aliitwa Gileadi. 2 Gileadi alikuwa pia na wana wengine kwa mke wake wa…
Mzozo kati ya Yeftha na kabila la Efraimu 1 Watu wa kabila la Efraimu walikusanyika, wakavuka mto Yordani wakafika huko Zafoni. Kisha wakamwambia Yeftha, “Kwa nini hukutuita tuende pamoja nawe…
Kuzaliwa kwa Samsoni 1 Waisraeli walitenda tena uovu mbele ya Mwenyezi-Mungu, naye akawaacha watawaliwe na Wafilisti kwa miaka arubaini. 2 Kulikuwa na mtu mmoja huko Sora, wa kabila la Dani,…
Matendo ya kwanza ya ushujaa ya Samsoni 1 Siku moja, Samsoni aliteremka na kwenda Timna ambako alimwona msichana mmoja Mfilisti. 2 Aliporudi nyumbani akawaambia wazazi wake, “Nimemwona msichana mmoja Mfilisti…
1 Baada ya muda fulani, wakati wa mavuno ya ngano, Samsoni alichukua mwanambuzi, akaenda kumtembelea mkewe. Akamwambia baba mkwe wake kwamba anataka kumwona mke wake chumbani mwake. Lakini baba mkwe…
Samsoni huko Gaza 1 Siku moja Samsoni alikwenda mjini Gaza, akakutana na malaya mmoja akalala naye. 2 Watu wa Gaza walipoambiwa kuwa Samsoni yuko huko, walilizingira eneo hilo na kumvizia…
Sanamu za Mika 1 Kulikuwa na mtu mmoja huko katika milima ya Efraimu, jina lake Mika. 2 Siku moja alimwambia mama yake, “Vile vipande 1,100 vya fedha ulivyoibiwa, nawe ukamlaani…
Mika na kabila la Dani 1 Siku hizo hakukuwa na mfalme katika Israeli. Basi kabila la Dani lilikuwa linatafuta eneo lake lenyewe la kuishi humo, kwani mpaka wakati huo, halikuwa…
Mlawi na suria wake 1 Wakati huo ambapo hapakuwepo na mfalme katika Israeli, kulikuwa na Mlawi fulani aliyeishi kama mgeni mbali katika eneo la milima ya Efraimu. Mtu huyo alichukua…
Vita vya kuwaadhibu watu wa Benyamini 1 Watu wote wa Israeli, kutoka Dani hadi Beer-sheba, pamoja na watu wa nchi ya Gileadi, jumuiya nzima, walikusanyika huko Mizpa, mbele ya Mwenyezi-Mungu….