Waefeso 1

1 Mimi Paulo, mtume wa Kristo Yesu kwa mapenzi ya Mungu, nawaandikia nyinyi watu wa Mungu huko Efeso, mlio waaminifu katika kuungana na Kristo Yesu. 2 Nawatakieni neema na amani…

Waefeso 2

Kutoka kifo na kuingia katika uhai 1 Nyinyi mlikuwa mmekufa kwa sababu ya makosa na dhambi zenu. 2 Wakati ule mliishi kufuatana na mtindo mbaya wa ulimwengu huu, mkawa mnamtii…

Waefeso 3

Jukumu la Paulo kwa mataifa mengine 1 Kutokana na hayo, mimi Paulo, mfungwa wa Kristo Yesu kwa ajili yenu, namwomba Mungu. 2 Bila shaka mmekwisha sikia kwamba Mungu, kwa neema…

Waefeso 4

Umoja katika jumuiya 1 Basi, mimi niliye mfungwa kwa kuwa namtumikia Bwana, nawasihi muishi maisha yanayostahili wito mlioitiwa. 2 Muwe daima wanyenyekevu, wapole na wenye saburi; vumilianeni nyinyi kwa nyinyi…

Waefeso 5

Kuishi katika mwanga 1 Kwa hiyo, mwigeni Mungu, maana nyinyi ni watoto wake wapenzi. 2 Upendo uongoze maisha yenu kama vile Kristo alivyotupenda, na kwa ajili yetu akajitoa mwenyewe kama…

Waefeso 6

Watoto na wazazi wao 1 Enyi watoto, watiini wazazi wenu Kikristo maana hili ni jambo jema. 2 “Waheshimu Baba na mama yako,” hii ndiyo amri ya kwanza ambayo imeongezewa ahadi,…