Walawi 1
Sadaka za kuteketezwa 1 Mwenyezi-Mungu alimwita Mose na kuongea naye katika hema la mkutano, akamwambia, 2 “Waambie Waisraeli kwamba kama mtu anapenda kumtolea Mwenyezi-Mungu sadaka ya mnyama, mnyama huyo atamchagua…
Sadaka za kuteketezwa 1 Mwenyezi-Mungu alimwita Mose na kuongea naye katika hema la mkutano, akamwambia, 2 “Waambie Waisraeli kwamba kama mtu anapenda kumtolea Mwenyezi-Mungu sadaka ya mnyama, mnyama huyo atamchagua…
Sadaka za nafaka 1 “Mtu yeyote akileta sadaka ya nafaka kwa Mwenyezi-Mungu, sadaka hiyo iwe ya unga laini. Atautia mafuta na ubani. 2 Kisha, atawaletea hao makuhani wa ukoo wa…
Sadaka za muungano 1 “Kama mtu anatoa sadaka ya amani, na sadaka yake ni ng’ombe dume au jike basi, mnyama huyo asiwe na dosari mbele yangu. 2 Ataweka mkono wake…
Sadaka kwa ajili ya dhambi zisizokusudiwa 1 Mwenyezi-Mungu alimwambia Mose, 2 “Waambie watu wa Israeli hivi: Kama mtu ametenda dhambi bila kukusudia, akafanya kitu kilichokatazwa na amri ya Mwenyezi-Mungu, atafanya…
Sadaka nyingine za kuondoa dhambi 1 “Kama mtu yeyote akitakiwa kutoa ushahidi kwenye baraza juu ya jambo aliloona au kulisikia naye akakataa kusema kitu, basi, huo ni uovu na atauwajibikia….
1 Mwenyezi-Mungu alimwambia Mose, 2 “Ikiwa mtu yeyote ametenda dhambi na kumwasi Mwenyezi-Mungu kwa kumdanganya jirani yake juu ya amana au dhamana aliyowekewa, au kumnyanganya au amemdhulumu mwenzake, 3 au…
Sadaka za fidia 1 “Ufuatao ni mwongozo wa ibada kuhusu sadaka ya kuondoa hatia. Sadaka hiyo ni takatifu kabisa. 2 Mnyama wa sadaka ya kuondoa hatia atachinjiwa mahali wanapochinjiwa wanyama…
Kuwekwa wakfu kwa Aroni na wanawe 1 Mwenyezi-Mungu alimwambia Mose, 2 “Mwite Aroni na wanawe wakutane mbele ya mlango wa hema la mkutano; chukua mavazi matakatifu, mafuta ya kupaka, ng’ombe…
Aroni anatoa sadaka 1 Siku ya nane baada ya siku saba za kuwekwa wakfu, Mose akamwita Aroni na wanawe pamoja na wazee wa Israeli. 2 Mose akamwambia Aroni, “Chukua ndama…
Dhambi ya Nadabu na Abihu 1 Nao Nadabu na Abihu, wanawe Aroni, walichukua kila mmoja chetezo chake, wakaweka moto na ubani, wakamtolea Mwenyezi-Mungu moto najisi, ambao haukulingana na agizo lake…