Walawi 11

Wanyama najisi na wasio najisi 1 Mwenyezi-Mungu aliwaambia Mose na Aroni, 2 “Wawaambie Waisraeli hivi: 3 Kati ya wanyama wote duniani, mmeruhusiwa kula mnyama yeyote mwenye kwato zilizogawanyika sehemu mbili…

Walawi 12

Kuwatakasa wanawake baada ya kujifungua 1 Mwenyezi-Mungu alimwambia Mose, 2 “Waambie watu wa Israeli hivi: Mwanamke akipata mimba, akajifungua mtoto wa kiume, atakuwa najisi kwa muda wa siku saba kulingana…

Walawi 13

Sheria kuhusu ukoma 1 Mwenyezi-Mungu aliwaambia Mose na Aroni, 2 “Iwapo mtu yeyote atakuwa na uvimbe au upele au kipaku mwilini mwake, ikadhihirika kwamba ni ukoma, basi, ataletwa kwa kuhani…

Walawi 14

Utakaso baada ya kuugua magonjwa ya ngozi 1 Mwenyezi-Mungu alimwambia Mose, 2 “Ifuatayo ni sheria kumhusu mwenye ukoma katika siku ya kutakaswa kwake. Baada ya kupona ataletwa kwa kuhani. 3…

Walawi 15

Vitu najisi vya mwili 1 Mwenyezi-Mungu alimwambia Mose na Aroni, 2 “Waambieni Waisraeli hivi: Mwanamume yeyote akitokwa na usaha, usaha huo wamfanya kuwa najisi. 3 Na ufuatao ni mwongozo kuhusu…

Walawi 16

Siku ya msamaha wa dhambi 1 Mwenyezi-Mungu alizungumza na Mose, baada ya wana wawili wa Aroni kufa wakati ule walipomkaribia. 2 Alimwambia, “Mwambie ndugu yako Aroni asiingie mahali patakatifu nyuma…

Walawi 17

Mwongozo kuhusu damu 1 Mwenyezi-Mungu alimwambia Mose, 2 “Mwambie Aroni, wanawe na watu wote wa Israeli amri zifuatazo: 3 Kama mtu yeyote miongoni mwa Waisraeli akichinja ng’ombe au mwanakondoo au…

Walawi 18

Matendo maovu ya ndoa 1 Mwenyezi-Mungu alimwambia Mose, 2 “Waambie watu wa Israeli hivi: Mimi ndimi Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu. 3 Kamwe msifanye kama wafanyavyo watu wa nchi ya Misri ambako…

Walawi 19

Kutenda mema 1 Mwenyezi-Mungu alimwambia Mose, 2 “Iambie jumuiya yote ya watu wa Israeli hivi: Ni lazima muwe watakatifu kwani mimi Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, ni mtakatifu. 3 Kila mmoja wenu…

Walawi 20

Adhabu kwa ajili ya maovu 1 Mwenyezi-Mungu alimwambia Mose, 2 “Waambie Waisraeli hivi: Mtu yeyote miongoni mwa Waisraeli au mgeni anayekaa miongoni mwenu, akimtoa sadaka mtoto wake yeyote kwa mungu…