Walawi 21

Maisha ya ukuhani 1 Mwenyezi-Mungu alimwambia Mose, “Waambie makuhani, wana wa Aroni, kwamba pasiwe na mtu yeyote miongoni mwao atakayejitia najisi kwa kugusa maiti ya watu wa jamaa yake, 2…

Walawi 22

Utakatifu wa sadaka 1 Mwenyezi-Mungu alimwambia Mose, 2 “Mwambie Aroni na wanawe makuhani waviheshimu vitu ambavyo Waisraeli wameniwekea wakfu, wasije wakalikufuru jina langu takatifu. Mimi ndimi Mwenyezi-Mungu. 3 Waambie hivi:…

Walawi 23

1 Mwenyezi-Mungu alimwambia Mose, 2 “Waambie Waisraeli hivi: Katika sikukuu zangu mimi Mwenyezi-Mungu ambazo zimepangwa mtakuwa na mkutano mtakatifu. Sikukuu ambazo nimepanga ni hizi: 3 Kutakuwa na siku sita za…

Walawi 24

Taa za mahali patakatifu 1 Mwenyezi-Mungu alimwambia Mose, 2 “Waamuru watu wa Israeli wakuletee mafuta safi kwa ajili ya taa ili taa hiyo iendelee kuwaka daima. 3 Aroni ataiweka taa…

Walawi 25

Mwaka wa saba 1 Mwenyezi-Mungu alimwambia Mose huko mlimani Sinai, 2 “Waambie Waisraeli hivi: Mtakapofika katika nchi ninayowapeni mimi Mwenyezi-Mungu kila mwaka wa saba nchi itapumzishwa isilimwe kwa heshima ya…

Walawi 26

Baraka kwa utiifu 1 “Msijitengenezee sanamu za miungu ya uongo, msishike sanamu zao za kuchonga wala nguzo wala sanamu za mawe yaliyochongwa nchini mwenu na kuvisujudu. Mimi ndimi Mwenyezi-Mungu, Mungu…

Walawi 27

Sheria kuhusu matoleo 1 Mwenyezi-Mungu alimwambia Mose, 2 “Waambie Waisraeli hivi: Mtu akiweka nadhiri ya kumtolea Mwenyezi-Mungu binadamu, mtu huyo anaweza kuondoa nadhiri yake kwa kulipa kiasi cha fedha kinachokadiriwa…