Waroma 11

Huruma ya Mungu kwa Israeli 1 Basi, nauliza: Je, Mungu amewakataa watu wake? Hata kidogo! Mimi binafsi ni Mwisraeli, mzawa wa Abrahamu, wa kabila la Benyamini. 2 Mungu hakuwakataa watu…

Waroma 12

Maisha katika utumishi wa Mungu 1 Kwa hiyo, ndugu zangu, maadamu Mungu ni mwenye huruma nyingi, nawasihi kwa moyo wote: Mtoleeni Mungu miili yenu kama tambiko iliyo hai, takatifu na…

Waroma 13

Utii kwa viongozi wa nchi 1 Kila mtu anapaswa kuwatii wenye mamlaka katika serikali; maana mamlaka yote hutoka kwa Mungu; nao wenye mamlaka wamewekwa na Mungu. 2 Anayepinga mamlaka ya…

Waroma 14

Usimhukumu ndugu yako 1 Mkaribisheni kwenu mtu aliye dhaifu, lakini msibishane naye juu ya mawazo yake binafsi. 2 Watu hutofautiana: Mmoja imani yake inamruhusu kula kila kitu; lakini mwingine ambaye…

Waroma 15

Acheni ubinafsi 1 Sisi tulio imara katika imani tunapaswa kuwasaidia wale walio dhaifu wayakabili matatizo yao. Tusijipendelee sisi wenyewe tu. 2 Kila mmoja wetu anapaswa kumpendeza jirani yake kwa wema…

Waroma 16

Salamu kwa watu mbalimbali 1 Napenda kumjulisha kwenu dada yetu Foibe ambaye ni mtumishi katika kanisa la Kenkrea. 2 Mpokeeni kwa ajili ya Bwana kama iwapasavyo watu wa Mungu. Mpeni…