Wimbo Ulio Bora 1

1 Wimbo wa Solomoniulio bora kuliko nyimbo zote. Shairi la kwanza Bibi arusi 2 Heri midomo yako inibusu, maana pendo lako ni bora kuliko divai. 3 Manukato yako yanukia vizuri,…

Wimbo Ulio Bora 2

1 Mimi ni ua la Sharoni, ni yungiyungi ya bondeni. Bwana arusi 2 Kama yungiyungi kati ya michongoma, ndivyo alivyo mpenzi wangu kati ya wasichana. Bibi arusi 3 Kama mtofaa…

Wimbo Ulio Bora 3

1 Usiku nikiwa kitandani mwangu, niliota namtafuta nimpendaye moyoni mwangu; nilimtafuta, lakini sikumpata. 2 Niliamka nikazunguka mjini, barabarani na hata vichochoroni, nikimtafuta yule wangu wa moyo. Nilimtafuta, lakini sikumpata. 3…

Wimbo Ulio Bora 4

Bwana arusi 1 Hakika u mzuri ewe mpenzi wangu, hakika u mzuri! Macho yako ni kama ya hua nyuma ya shela lako, nywele zako ni kama kundi la mbuzi washukao…

Wimbo Ulio Bora 5

Bwana arusi 1 Naingia bustanini mwangu, dada yangu, bi arusi. Nakusanya manemane na viungo, nala sega langu la asali, nanywa divai yangu na maziwa yangu. Bibi arusi Kuleni enyi marafiki,…

Wimbo Ulio Bora 6

Wanawake 1 Ewe mwanamke uliye mzuri sana; amekwenda wapi huyo mpenzi wako? Ameelekea wapi mpenzi wako ili tupate kushirikiana nawe katika kumtafuta? Bibi arusi 2 Mpenzi wangu amekwenda bustanini mwake,…

Wimbo Ulio Bora 7

Bwana arusi 1 Nyayo zako katika viatu zapendeza sana! Ewe mwanamwali wa kifalme. Mapaja yako ya mviringo ni kama johari, kazi ya msanii hodari. 2 Kitovu chako ni kama bakuli…

Wimbo Ulio Bora 8

1 Laiti ungekuwa kaka yangu, ambaye amenyonyeshwa na mama yangu! Hivyo, hata kama ningekutana nawe nje, ningekubusu na hakuna ambaye angenidharau. 2 Ningekuongoza na kukufikisha nyumbani kwa mama mzazi, mahali…