Yakobo 1

Salamu 1 Mimi Yakobo, mtumishi wa Mungu na wa Bwana Yesu Kristo, nawaandikia nyinyi, makabila kumi na mawili, yaliyotawanyika ulimwenguni! Salamu! Imani na hekima 2 Ndugu zangu, muwe na furaha…

Yakobo 2

Onyo kuhusu ubaguzi 1 Ndugu zangu, mkiwa mnamwamini Bwana Yesu Kristo, Bwana wa utukufu, msiwabague watu kamwe. 2 Tuseme mtu mmoja ambaye amevaa pete ya dhahabu na mavazi nadhifu anaingia…

Yakobo 3

Ulimi 1 Ndugu zangu, wengi wenu msiwe waalimu. Kama mjuavyo, sisi waalimu tutapata hukumu kubwa zaidi kuliko wengine. 2 Lakini kama mtu hakosi katika usemi wake, basi, huyo ni mkamilifu,…

Yakobo 4

Urafiki na ulimwengu 1 Mapigano na ugomvi wote kati yenu vinatoka wapi? Hutoka katika tamaa zenu mbaya ambazo hupigana daima ndani yenu. 2 Mnatamani vitu na kwa vile hamvipati mko…

Yakobo 5

Onyo kwa matajiri 1 Na sasa sikilizeni enyi matajiri! Lieni na kuomboleza kwa sababu ya taabu zitakazowajieni. 2 Mali zenu zimeoza, na nguo zenu zimeliwa na nondo. 3 Dhahabu yenu…