Yeremia 1

1 Yafuatayo ni maneno ya Yeremia mwana wa Hilkia, mmoja wa makuhani wa mji wa Anathothi, katika nchi ya Benyamini. 2 Neno la Mwenyezi-Mungu lilimjia Yeremia mnamo mwaka wa kumi…

Yeremia 2

Mungu awalinda Waisraeli 1 Neno la Mwenyezi-Mungu likanijia: 2 “Nenda ukawatangazie waziwazi wakazi wote wa Yerusalemu kuwa mimi Mwenyezi-Mungu nasema hivi: Naukumbuka uaminifu wako ulipokuwa kijana, jinsi ulivyonipenda kama mchumba…

Yeremia 3

Mwisraeli asiye mwaminifu 1 “Mume akimpa talaka mkewe, naye akaondoka kwake, na kuwa mke wa mwanamume mwingine, je mume yule aweza kumrudia mwanamke huyo? Je, kufanya hivyo hakutaitia nchi unajisi…

Yeremia 4

Wito wa toba 1 Mwenyezi-Mungu asema hivi: “Ukitaka kurudi ee Israeli, nirudie mimi. Ukiviondoa vitu vya kuchukiza mbele yangu, usipotangatanga huko na huko, 2 ukiapa kwa ukweli, unyofu na uadilifu,…

Yeremia 5

Dhambi ya Yerusalemu 1 Kimbieni huko na huko mjini Yerusalemu; pelelezeni na kujionea wenyewe! Chunguzeni masoko yake mwone kama kuna mtu atendaye haki mtu atafutaye ukweli; akiwako, basi Mwenyezi-Mungu atausamehe…

Yeremia 6

Yerusalemu imezingirwa na maadui 1 Enyi watu wa Benyamini, ondokeni Yerusalemu mkimbilie usalama! Pigeni tarumbeta mjini Tekoa; onesheni ishara huko Beth-hakeremu, maana maafa na maangamizi makubwa yanakuja kutoka upande wa…

Yeremia 7

Yeremia anahubiri hekaluni 1 Mwenyezi-Mungu alimwamuru Yeremia aende kusimama 2 kwenye lango la hekalu lake Mwenyezi-Mungu na kutangaza ujumbe huu: “Sikilizeni neno la Mwenyezi-Mungu enyi watu wa Yuda mnaoingia humu…

Yeremia 8

1 “Wakati huo, nasema mimi Mwenyezi-Mungu, mifupa ya wafalme wa Yuda, mifupa ya wakuu wao, mifupa ya makuhani, mifupa ya manabii na mifupa ya wakazi wote wa Yerusalemu itachimbuliwa makaburini…

Yeremia 9

1 Laiti kichwa changu kingekuwa kisima cha maji, na macho yangekuwa chemchemi ya machozi ili nipate kulia mchana na usiku, kwa ajili ya watu wangu waliouawa! 2 Laiti ningekuwa na…

Yeremia 10

Ibada za sanamu na ibada za kweli 1 Sikilizeni neno analowaambieni Mwenyezi-Mungu, enyi Waisraeli! 2 Mwenyezi-Mungu asema hivi: “Msijifunze mienendo ya mataifa mengine, wala msishangazwe na ishara za mbinguni; yaacheni…