Yeremia 11
Yeremia na agano 1 Neno lilimjia Yeremia kutoka kwa Mwenyezi-Mungu; 2 “Sikiliza masharti ya agano hili, kisha nenda ukawatangazie watu wa Yuda na wakazi wa Yerusalemu. 3 Utawaambia hivi: Mwenyezi-Mungu,…
Yeremia na agano 1 Neno lilimjia Yeremia kutoka kwa Mwenyezi-Mungu; 2 “Sikiliza masharti ya agano hili, kisha nenda ukawatangazie watu wa Yuda na wakazi wa Yerusalemu. 3 Utawaambia hivi: Mwenyezi-Mungu,…
Yeremia anamhoji Mwenyezi-Mungu 1 Ee Mwenyezi-Mungu, wewe ni mwadilifu, ingawa nakulalamikia. Lakini ningependa kutoa hoja zangu mbele yako: Kwa nini waovu hufanikiwa katika mambo yao? Mbona wote wenye hila hustawi?…
Kikoi cha kitani 1 Mwenyezi-Mungu aliniambia hivi: “Nenda ukajinunulie kikoi cha kitani, ukajifunge kiunoni; lakini usikitie majini.” 2 Basi, nikaenda, nikanunua kikoi kama alivyoniagiza Mwenyezi-Mungu, nikajifunga kiunoni. 3 Kisha, neno…
Ukame wa kutisha 1 Neno la Mwenyezi-Mungu lilimjia Yeremia kuhusu ule ukame: 2 “Watu wa Yuda wanaomboleza, na malango yao yanalegea. Watu wake wanaomboleza udongoni na kilio cha Yerusalemu kinapanda…
Hukumu kwa watu wa Yuda 1 Kisha Mwenyezi-Mungu akaniambia: “Hata kama Mose na Samueli wangesimama mbele yangu na kunisihi, nisingewahurumia watu hawa. Waondoe kabisa mbele yangu. Waache waende zao! 2…
Upweke wa Yeremia 1 Neno la Mwenyezi-Mungu lilinijia na kusema: 2 “Wewe hutaoa wala hutapata watoto mahali hapa. 3 Maana mimi Mwenyezi-Mungu nasema hivi juu ya watoto wa kiume na…
Dhambi na adhabu ya Yuda 1 “Dhambi ya watu wa Yuda, imeandikwa kwa kalamu ya chuma; kwa ncha ya almasi imechorwa mioyoni mwao na katika pembe za madhabahu zao, 2…
Yeremia nyumbani kwa mfinyanzi 1 Neno la Mwenyezi-Mungu lilinijia: 2 “Yeremia, inuka uende nyumbani kwa mfinyanzi, na huko nitakupa maneno yangu.” 3 Basi, nikateremka mpaka nyumbani kwa mfinyanzi, nikamkuta mfinyanzi…
Gudulia lililovunjika 1 Mwenyezi-Mungu aliniambia: “Nenda ukanunue gudulia la udongo kwa mfinyanzi. Kisha, wachukue baadhi ya wazee wa watu na baadhi ya makuhani viongozi, 2 halafu uende pamoja nao katika…
Ugomvi kati ya Yeremia na Pashuri 1 Kuhani Pashuri mwana wa Imeri, ambaye alikuwa ofisa mkuu wa nyumba ya Mwenyezi-Mungu, alimsikia Yeremia akitoa unabii huo. 2 Basi, Pashuri akampiga nabii…