Yeremia 21

Yerusalemu utashindwa 1 Hili ni neno lililomjia Yeremia kutoka kwa Mwenyezi-Mungu, wakati mfalme Sedekia alipowatuma Pashuri mwana wa Malkia, na kuhani Sefania mwana wa Maaseya, wamwambie Yeremia hivi: 2 “Tafadhali,…

Yeremia 22

Ujumbe juu ya jumba la kifalme la Yuda 1 Mwenyezi-Mungu asema hivi: “Nenda katika ikulu ya mfalme wa Yuda, uwape watu ujumbe huu: 2 Wewe mfalme wa Yuda unayekikalia kiti…

Yeremia 23

Tumaini la baadaye 1 “Ole wao wachungaji wanaowaangamiza na kuwatawanya kondoo wa malisho yangu!” 2 Kwa hiyo, mimi Mwenyezi-Mungu, Mungu wa Israeli nasema hivi kuhusu wachungaji wanaowachunga watu wangu: Nyinyi…

Yeremia 24

Vikapu viwili vya tini 1 Baada ya Nebukadneza, mfalme wa Babuloni kuwahamisha Yekonia mwana wa Yehoyakimu mfalme wa Yuda, pamoja na viongozi wa Yuda, mafundi stadi na masonara, kutoka Yerusalemu…

Yeremia 25

Adui kutoka kaskazini 1 Mnamo mwaka wa nne wa utawala wa mfalme Yehoyakimu mwana wa Yosia, katika Yuda, Mwenyezi-Mungu alinimpa mimi Yeremia ujumbe kuhusu watu wa Yuda. Mwaka huo ulikuwa…

Yeremia 26

Yeremia mahakamani 1 Mwanzoni mwa utawala wa Yehoyakimu mwana wa Yosia, katika nchi ya Yuda, Mwenyezi-Mungu alimwambia Yeremia hivi: 2 “Mimi Mwenyezi-Mungu nasema hivi: Simama katika ukumbi wa nyumba ya…

Yeremia 27

Yeremia anavaa nira 1 Mwanzoni mwa utawala wa Sedekia mwana wa Yosia, mfalme wa Yuda, neno hili lilimjia Yeremia kutoka kwa Mwenyezi-Mungu. 2 Mwenyezi-Mungu aliniambia hivi: “Yeremia, jitengenezee kamba na…

Yeremia 28

Yeremia na nabii Hanania 1 Mwaka uleule,mnamo mwezi wa tano wa mwaka wa nne wa utawala wa Sedekia mfalme wa Yuda, Hanania mwana wa Azuri, nabii kutoka mji wa Gibeoni,…

Yeremia 29

Barua ya Yeremia kwa Wayahudikule Babuloni 1 Ifuatayo ni barua ambayo nabii Yeremia aliwapelekea kutoka Yerusalemu wazee na makuhani, manabii na watu ambao Nebukadneza alikuwa amewachukua kutoka Yerusalemu akawapeleka uhamishoni…

Yeremia 30

Ahadi za Mungu kwa watu wote 1 Neno lililomjia Yeremia kutoka kwa Mwenyezi-Mungu: 2 “Mimi Mwenyezi-Mungu, Mungu wa Israeli, nasema hivi: Yaandike katika kitabu maneno yote niliyokuambia. 3 Maana siku…