Yeremia 31

Waisraeli wanarudi makwao 1 Mwenyezi-Mungu asema: “Wakati utakuja ambapo nitakuwa Mungu wa jamaa zote za Israeli nao watakuwa watu wangu. 2 Mimi Mwenyezi-Mungu nasema: Watu walionusurika kuuawa niliwaneemesha jangwani. Wakati…

Yeremia 32

Yeremia ananunua shamba 1 Neno la Mwenyezi-Mungu lililomjia Yeremia mnamo mwaka wa kumi wa utawala wa Sedekia, mfalme wa Yuda, ambao ulikuwa mwaka wa kumi na nane wa utawala wa…

Yeremia 33

Ahadi nyingine ya matumaini 1 Neno la Mwenyezi-Mungu lilimjia Yeremia mara nyingine, wakati alipokuwa bado amefungwa katika ukumbi wa walinzi: 2 Mwenyezi-Mungu aliyeiumba dunia, Mwenyezi-Mungu aliyeifanya na kuiimarisha dunia, ambaye…

Yeremia 34

Ujumbe kwa Sedekia 1 Neno la Mwenyezi-Mungu lilimjia Yeremia wakati Nebukadneza, mfalme wa Babuloni, pamoja na jeshi lake lote na falme zote za dunia zilizokuwa chini yake, kadhalika na watu…

Yeremia 35

Yeremia na Warekabu 1 Neno la Mwenyezi-Mungu lililomjia Yeremia wakati wa utawala wa Yehoyakimu mwana wa Yosia, mfalme wa Yuda: 2 “Nenda nyumbani kwa Warekabu, ukaongee nao. Kisha, walete katika…

Yeremia 36

Yehoyakimu anachoma hati aliyoandika Baruku 1 Mnamo mwaka wa nne wa utawala wa Yehoyakimu mwana wa Yosia, mfalme wa Yuda, neno hili la Mwenyezi-Mungu lilimjia Yeremia: 2 “Chukua kitabu uandike…

Yeremia 37

Sedekia anakwenda kuomba shauri kwa Yeremia 1 Mfalme Nebukadneza wa Babuloni alimtawaza Sedekia mwana wa Yosia, kuwa mfalme wa Yuda mahali pa Konia mwana wa Yehoyakimu. 2 Lakini Sedekia na…

Yeremia 38

Yeremia ndani ya kisima 1 Shefatia mwana wa Matani, Gedalia mwana wa Pashuri, mwana wa Malkia, walisikia maneno ambayo Yeremia aliwatangazia watu wote akisema, 2 “Mwenyezi-Mungu asema hivi: Yeyote atakayebaki…

Yeremia 39

Kutekwa kwa mji wa Yerusalemu 1 Mnamo mwezi wa tisa wa mwaka wa tisa wa utawala wa Sedekia mfalme wa Yuda, Nebukadneza mfalme wa Babuloni alifika na jeshi lake lote…

Yeremia 40

Yeremia anakaa na Gedalia 1 Neno lililomjia Yeremia kutoka kwa Mwenyezi-Mungu wakati Nebuzaradani kapteni wa walinzi wa mfalme, alipomruhusu Yeremia aondoke Rama. Huyo kapteni alimchukua Yeremia amefungwa minyororo, akawachukua pia…