Yeremia 41
1 Mnamo mwezi wa saba, Ishmaeli mwana wa Nethania, mjukuu wa Elishama, wa ukoo wa kifalme, mmoja wa maofisa wakuu wa mfalme, alifika Mizpa kwa Gedalia akiandamana na watu kumi….
1 Mnamo mwezi wa saba, Ishmaeli mwana wa Nethania, mjukuu wa Elishama, wa ukoo wa kifalme, mmoja wa maofisa wakuu wa mfalme, alifika Mizpa kwa Gedalia akiandamana na watu kumi….
Wananchi wanamsihi Yeremia awaombee 1 Kisha makamanda wote wa majeshi, Yohanani mwana wa Karea, na Azariamwana wa Heshaia pamoja na watu wote, wadogo kwa wakubwa, 2 wakamwendea Yeremia, wakamwambia, “Tafadhali…
Yeremia apelekwa Misri 1 Yeremia alipomaliza kuwaambia watu wote maneno yote ambayo Mwenyezi-Mungu, Mungu wao, alimwamuru awatangazie, 2 Azaria mwana wa Hoshaia, Yohanani mwana wa Karea na watu wote mafidhuli,…
Ujumbe wa Mungu kwa Waisraeli nchini Misri 1 Neno la Mwenyezi-Mungu lilimjia Yeremia kuhusu Wayahudi waliokuwa wanakaa nchini Misri katika miji ya Migdoli, Tahpanesi, Memfisi na sehemu ya Pathrosi: 2…
Ahadi ya Mungu kwa Baruku 1 Haya ndiyo maneno aliyotamka nabii Yeremia mnamo mwaka wa nne wa utawala wa Yehoyakimu mwana wa Yosia naye Baruku mwana wa Neria akawa anayaandika…
1 Neno la Mwenyezi-Mungu lililomjia Yeremia kuhusu watu wa mataifa. Tamko la Mwenyezi-Mungu juu ya Misri 2 Kuhusu Misri na jeshi la Farao Neko mfalme wa Misri, lililokuwa huko Karkemishi…
Tamko la Mwenyezi-Mungu juu ya Filistia 1 Neno la Mwenyezi-Mungu lililomjia nabii Yeremia kuhusu Wafilisti, kabla Farao hajaushambulia mji wa Gaza: 2 Mwenyezi-Mungu asema hivi: “Tazama! Maji yanapanda kutoka kaskazini,…
Moabu 1 Mwenyezi-Mungu wa majeshi, Mungu wa Israeli, asema hivi: “Ole watu wa Nebo, maana mji wake umeharibiwa! Kiriathaimu umeaibishwa, umetekwa, ngome yake imebomolewa mbali; 2 fahari ya Moabu imetoweka….
Waamoni 1 Kuhusu Waamoni. Mwenyezi-Mungu asema hivi: “Je, Israeli hana watoto? Je, hana warithi? Mbona basi mungu Milkomu amemiliki Gadi na watu wake kufanya makao yao mijini mwake? 2 Basi,…
Babuloni 1 Neno la Mwenyezi-Mungu alilosema kwa njia ya nabii Yeremia kuhusu nchi ya Babuloni na nchi ya Wakaldayo: 2 “Tangazeni kati ya mataifa, twekeni bendera na kutangaza, Msifiche lolote….