Yobu 1

Shetani amjaribu Yobu 1 Palikuwa na mtu mmoja nchini Usi, aitwaye Yobu. Mtu huyo alikuwa mwema na mnyofu; mtu mcha Mungu na mwenye kuepukana na uovu. 2 Yobu alikuwa na…

Yobu 2

Jaribio la pili 1 Ikatokea tena siku nyingine, malaika wa Mungu walikwenda kukutana mbele ya Mwenyezi-Mungu, naye Shetani akajitokeza pia pamoja nao. 2 Mwenyezi-Mungu akamwuliza Shetani, “Umetoka wapi wewe?” Naye…

Yobu 3

Yobu analalamika 1 Hatimaye Yobu aliamua kuongea, akailaani siku aliyozaliwa. 2 Yobu akasema: 3 “Ilaaniwe siku ile niliyozaliwa; usiku ule iliposemwa, ‘Mwana amechukuliwa mimba’ 4 Siku hiyo na iwe giza!…

Yobu 4

Hoja ya Elifazi 1 Kisha Elifazi yule Mtemani akamjibu Yobu: 2 “Je, mtu akijaribu kukuambia neno utakasirika? Lakini nani awezaye kujizuia kusema? 3 Sikiliza! Wewe umewafundisha wengi, na kuiimarisha mikono…

Yobu 5

1 “Ita sasa, uone kama kuna wa kukuitikia. Ni yupi kati ya watakatifu utakayemwita? 2 Ama kweli hangaiko humuua mpumbavu, na wivu humwangamiza mjinga. 3 Nimepata kuona mpumbavu akifana, lakini…

Yobu 6

1 Yobu akamjibu Elifazi: 2 “Laiti mahangaiko yangu yangepimwa uzani wake, mateso yangu yote yakawekwa katika mizani! 3 Yangekuwa mazito kuliko mchanga wa pwani. Ndio maana maneno yangu ni ya…

Yobu 7

1 “Binadamu anayo magumu duniani, na siku zake ni kama siku za kibarua! 2 Yeye ni kama mtumwa atamaniye kivuli, kama mwajiriwa angojaye kwa hamu mshahara wake. 3 Basi nimepangiwa…

Yobu 8

1 Ndipo Bildadi, Mshuhi, akamjibu Yobu: 2 “Utasema mambo haya mpaka lini? Mpaka lini maneno yako yatakuwa matupu kama upepo? 3 Kwani, wadhani Mungu hupotosha haki? Au, je, Mungu Mwenye…

Yobu 9

Jibu la Yobu 1 Kisha Yobu akajibu: 2 “Kweli najua hivyo ndivyo ilivyo. Lakini mtu awezaje kuwa mwema mbele ya Mungu? 3 Kama mtu angethubutu kushindana naye, hataweza kufika mbali;…

Yobu 10

Kauli ya mwisho ya Yobu 1 “Nayachukia maisha yangu! Malalamiko yangu nitayasema bila kizuizi. Nitasema kwa uchungu wa moyo wangu. 2 Nitamwambia Mungu: Usinihukumu. Nijulishe kisa cha kupingana nami. 3…