Yobu 11
Hoja ya Sofari 1 Kisha Sofari, Mnaamathi, akamjibu Yobu: 2 “Je, wingi huu wa maneno uachwe tu bila kujibiwa? Je, mtu wa maneno mengi aonesha kuwa hana hatia? 3 Je,…
Hoja ya Sofari 1 Kisha Sofari, Mnaamathi, akamjibu Yobu: 2 “Je, wingi huu wa maneno uachwe tu bila kujibiwa? Je, mtu wa maneno mengi aonesha kuwa hana hatia? 3 Je,…
Jibu la Yobu 1 Ndipo Yobu akajibu: 2 “Sawa! Nyinyi ni watu wa hekima. Hekima itakufa wakati ule mtakapokufa. 3 Mimi nami ni mwelewa kama nyinyi. Mimi si mtu duni…
Jibu la Yobu laendelea 1 “Tazama, hayo yote nimeyaona kwa macho yangu; nimeyasikia kwa masikio yangu mwenyewe na kuelewa. 2 Yote mnayoyajua, mimi pia nayajua. Mimi si mtu duni kuliko…
1 “Mtu ni mtoto tu wa mwanamke; huishi siku chache tena zilizojaa taabu. 2 Huchanua kama ua, kisha hunyauka. Hukimbia kama kivuli na kutoweka. 3 Ee Mungu, kwa nini unajali…
Hoja ya pili ya Elifazi 1 Kisha Elifazi, Mtemani, akajibu: 2 “Je, mtu wa hekima hujibu kwa maneno ya upuuzi? Je, mtu huyo amejaa maneno matupu? 3 Je, mwenye hekima…
Jibu la Yobu 1 Hapo Yobu akajibu: 2 “Mambo kama hayo nimeyasikia mengi; nyinyi ni wafariji duni kabisa! 3 Mwisho wa maneno haya matupu ni lini? Au ni kitu gani…
1 “Nimevunjika moyo, siku zangu zimekwisha, kaburi langu liko tayari. 2 Kweli wanaonidhihaki wamenizunguka, dhihaka zao naziona dhahiri. 3 “Ee Mungu, uwe mdhamini wangu mbele yako, maana hakuna mwingine wa…
Hoja ya pili ya Bildadi 1 Kisha Bildadi, Mshuhi, akajibu: 2 “Utawinda maneno ya kusema hadi lini? Tafakari vizuri nasi tutasema. 3 Kwa nini unatufanya kama ng’ombe? Mbona unatuona sisi…
Jibu la Yobu 1 Kisha Yobu akajibu: 2 “Mtaendelea kunitesa mpaka lini, na kunivunjavunja kwa maneno? 3 Mara hizi zote kumi mmenishutumu. Je, hamwoni aibu kunitendea vibaya? 4 Hata kama…
Hoja ya tatu ya Sofari 1 Kisha Sofari, Mnaamathi, akajibu: 2 “Fikira zangu zanifanya nikujibu, wala siwezi kujizuia tena. 3 Nasikia maonyo nisiyoweza kuvumilia, lakini akili yangu yanisukuma nijibu. 4…