Yobu 41

1 “Yeyote anayeliona hilo dude, hufa moyo na kuzirai. 2 Hakuna mtu yeyote mkali athubutuye kulishtua. Nani, basi awezaye kusimama mbele yangu? 3 Nani aliyenipa kitu, ili nitakiwe kumrudishia? Chochote…

Yobu 42

1 Kisha Yobu akamjibu Mwenyezi-Mungu: 2 “Najua kwamba waweza kila kitu, lolote unalokusudia haliwezi kuzuiliwa. 3 Ulisema kuwa nilithubutu kutatiza mpango wako kijinga. Kweli nilitamka kitu ambacho sikuelewa mambo ya…