Yoeli 1

1 Neno la Mwenyezi-Mungu lililomjia Yoeli, mwana wa Pethueli: Watu waombolezea mimea 2 Sikilizeni kitu hiki enyi wazee; tegeni sikio wakazi wote wa Yuda! Je, jambo kama hili limewahi kutokea…

Yoeli 2

Nzige: Onyo juu ya siku ya Mwenyezi-Mungu 1 Pigeni tarumbeta huko Siyoni; pigeni baragumu juu ya mlima mtakatifu! Tetemekeni enyi wakazi wa Yuda, maana siku ya Mwenyezi-Mungu inakuja, naam, siku…

Yoeli 3

Mungu atayahukumu mataifa 1 “Wakati huo na siku hizo nitakapoirekebisha hali ya Yuda na Yerusalemu, 2 nitayakusanya mataifa yote, niyapeleke katika bonde liitwalo, ‘Mwenyezi-Mungu Ahukumu. Huko nitayahukumu mataifa hayo, kwa…