Yohane 11

Kifo cha Lazaro 1 Mtu mmoja aitwaye Lazaro, mwenyeji wa Bethania, alikuwa mgonjwa. (Kijiji cha Bethania kilikuwa mahali walipokaa Maria na Martha, dada yake. 2 Maria ndiye yule aliyempaka Bwana…

Yohane 12

Yesu anapakwa marashi 1 Siku sita kabla ya sikukuu ya Pasaka, Yesu alifika Bethania alikoishi Lazaro ambaye Yesu alikuwa amemfufua kutoka wafu. 2 Huko walimwandalia chakula cha jioni, naye Martha…

Yohane 13

Yesu anawaosha mitume miguu 1 Ilikuwa siku kabla ya sikukuu ya Pasaka. Yesu alijua kwamba saa yake ya kuondoka ulimwenguni na kwenda kwa Baba ilikuwa imefika. Alikuwa amewapenda daima watu…

Yohane 14

Yesu njia ya kwenda kwa Baba 1 Yesu aliwaambia, “Msifadhaike mioyoni mwenu. Mwaminini Mungu, niaminini na mimi pia. 2 Nyumbani mwa Baba yangu mna makao mengi; kama isingekuwa hivyo, ningalikwisha…

Yohane 15

Yesu mzabibu wa kweli 1 “Mimi ni mzabibu wa kweli, na Baba yangu ndiye mkulima. 2 Kila tawi ndani yangu lisilozaa matunda yeye huliondoa, na kila tawi lizaalo hulisafisha lipate…

Yohane 16

1 “Nimewaambieni hayo kusudi msiiache imani yenu. 2 Watu watawafukuza nyinyi katika masunagogi yao. Tena, wakati unakuja ambapo kila atakayewaua nyinyi atadhani anamhudumia Mungu. 3 Watawatendeeni mambo hayo kwa sababu…

Yohane 17

Yesu anawaombea wanafunzi wake 1 Yesu alipokwisha sema hayo, alitazama juu mbinguni, akasema, “Baba, ile saa imefika! Mtukuze Mwanao ili naye Mwana apate kukutukuza. 2 Maana ulimpa Mwanao mamlaka juu…

Yohane 18

Yesu anatiwa nguvuni 1 Yesu alipokwisha sema hayo, alikwenda ngambo ya kijito Kedroni, pamoja na wanafunzi wake. Mahali hapo palikuwa na bustani, naye Yesu akaingia humo pamoja na wanafunzi wake….

Yohane 19

1 Basi, Pilato akaamuru Yesu achukuliwe, apigwe viboko. 2 Nao askari wakasokota taji ya miiba, wakamtia kichwani, wakamvika na joho la rangi ya zambarau. 3 Wakawa wanakuja mbele yake na…

Yohane 20

Kaburi tupu 1 Alfajiri na mapema Jumapili, kukiwa bado na giza, Maria Magdalene alikwenda kaburini, akaliona lile jiwe limeondolewa mlangoni pa kaburi. 2 Basi, akaenda mbio hadi kwa Petro na…