Yona 1

Yona anajaribu kumkwepa Mungu 1 Siku moja, neno la Mwenyezi-Mungu lilimjia Yona, mwana wa Amitai: 2 “Ondoka uende Ninewi, ule mji mkuu, ukaukemee, maana nimeona uovu wake ni mkubwa mno.”…

Yona 2

Sala ya Yona 1 Basi, Yona, akiwa tumboni mwa samaki huyo, akawa akimwomba Mwenyezi-Mungu, Mungu wake, 2 akisema: “Kwa sababu ya taabu yangu, nilikuomba, ee Mwenyezi-Mungu, nawe ukanisikiliza; toka chini…

Yona 3

Yona anafuata agizo la Mungu 1 Neno la Mwenyezi-Mungu likamjia Yona mara ya pili: 2 “Nenda Ninewi, ule mji mkuu, ukawatangazie watu ujumbe niliokupa.” 3 Basi, Yona akaondoka, akaenda Ninewi…

Yona 4

Yona anakasirika kwa sababu Mungu ana huruma 1 Lakini jambo hilo halikumpendeza Yona hata kidogo, akakasirika sana. 2 Kwa hiyo akaomba, “Mwenyezi-Mungu, je, hayo si mambo yaleyale niliyowaza utayafanya nilipokuwa…