Yoshua 21

Miji ya Walawi 1 Walipokuwa huko Shilo katika nchi ya Kanaani viongozi wa koo za Walawi wakawaendea kuhani Eleazari na Yoshua mwana wa Nuni, na viongozi wa jamaa za makabila…

Yoshua 22

Makabila ya mashariki yanarudi nyumbani 1 Basi, Yoshua akawaita watu wa kabila la Reubeni, la Gadi na watu wa nusu ya kabila la Manase 2 akawaambia, “Nyinyi mmefuata yale yote…

Yoshua 23

Hotuba ya mwisho ya Yoshua 1 Baada ya muda mrefu, Mwenyezi-Mungu aliwajalia Waisraeli amani kwa kuwaokoa na maadui zao pande zote. Wakati huo Yoshua alikuwa mzee wa miaka mingi. 2…

Yoshua 24

Waisraeli wanaamua kumtumikia Mwenyezi-Mungu 1 Kisha Yoshua akayakusanya makabila yote ya Israeli huko Shekemu. Akawaita wazee, viongozi, waamuzi na maofisa wa Israeli, nao wakaja mbele ya Mungu. 2 Yoshua akawaambia…