Yudithi 1
Vita kati ya Nebukadneza na Arfaksadi 1 Mfalme Nebukadneza alikuwa mfalme wa Waashuru. Makao yake makuu yalikuwa katika mji mashuhuri wa Ninewi. Wakati huo huo, mfalme Arfaksadi alikuwa akitawala Wamedi….
Vita kati ya Nebukadneza na Arfaksadi 1 Mfalme Nebukadneza alikuwa mfalme wa Waashuru. Makao yake makuu yalikuwa katika mji mashuhuri wa Ninewi. Wakati huo huo, mfalme Arfaksadi alikuwa akitawala Wamedi….
Vita dhidi ya mataifa ya magharibi 1 Mnamo mwaka wa kumi na nane wa utawala wake, siku ya ishirini na moja ya mwezi wa kwanza, mfalme Nebukadneza pamoja na washauri…
Ujumbe wa amani kwa mfalme Nebukadneza 1 Watu wote wa eneo lote la magharibi wakampelekea mfalme Nebukadneza ujumbe wa amani, wakisema, 2 “Sisi tunabaki kuwa watiifu kwako mfalme mkuu Nebukadneza….
Waisraeli wanajihami 1 Watu wa Yuda walisikia jinsi Holoferne, kamanda wa majeshi ya mfalme Nebukadneza wa Waashuru, alivyoyatenda mataifa mengine. Walisikia jinsi alivyoteka na kuyabomolea mbali mahekalu yao. 2 Hivyo,…
Halmashauri ya vita kambini mwa Holoferne 1 Holoferne, jenerali wa jeshi la Ashuru, aliposikia kuwa watu wa Israeli wamejitayarisha kwa vita kwa kufunga njia za milimani, wamejenga ngome milimani, na…
Hotuba ya Holoferne 1 Baada ya ghasia zilizosababishwa na Akioro kwenye mkutano kutulia, Holoferne, jemadari wa jeshi la Ashuru, alimwambia Akioro, mbele ya wanajeshi wote wa kukodishwa kutoka pwani ya…
Mji wa Bethulia unazingirwa 1 Kesho yake, Holoferne akakusanya jeshi lake pamoja na wanajeshi wengine waliojiunga naye. Akaliagiza kwenda kuushambulia mji wa Bethulia, kushika njia zote za mlima na kuwashambulia…
Yudithi, mwanamke Mwisraeli mjane 1 Wakati huo, Yudithi alisikia mambo yaliyotokea. Yeye alikuwa binti wa Merari, mwana wa Oksi, mwana wa Yosefu, mwana wa Ozieli, mwana wa Elkia, mwana wa…
Sala ya Yudithi 1 Yudithi alianguka kifudifudi akajipaka majivu kichwani, akalifunua vazi lililofunika vazi la ndani la gunia; wakati huo huo watu walikuwa wanafukiza ubani hekaluni wakati wa jioni, mjini…
Yudithi aenda kambini mwa Holoferne 1 Yudithi alipomaliza kumlilia Mungu wa Israeli, 2 aliinuka, akamwita mjakazi wake, akashuka na kuingia katika vyumba alivyozoea kutumia wakati wa siku za Sabato na…