Yudithi 11

1 Holoferne akamwambia Yudithi, “Jipe moyo mama! Hakuna haja kwako kuwa na hofu moyoni mwako! Sijamdhuru yeyote anayechagua kumtumikia Nebukadneza, mfalme wa dunia nzima. 2 Hata sasa, watu wako wanaokaa…

Yudithi 12

Yudithi anabaki mwaminifu 1 Holoferne akawaamuru watu wampeleke Yudithi kwenye meza ambako sahani zake za fedha ziliwekwa, na akaandaliwe chakula kutokana na vyakula maalumu anavyokula na kupewa divai. 2 Lakini…

Yudithi 13

1 Mwishowe, usiku ulipoingia, wageni wakaomba radhi kuondoka; wakaenda zao. Kisha Bagoa akalifunga hema kwa nje na akawazuia watumishi wa Holoferne kuingia ndani. Hivyo wote wakaenda kulala; kila mmoja alikuwa…

Yudithi 14

Mpango wa Yudithi 1 Ndipo Yudithi akawaambia, “Ndugu zangu, nisikilizeni sasa, kichukueni kichwa hiki na kukitundika kwenye ukuta wa mji. 2 Chagueni kiongozi, na asubuhi na mapema jua linapochomoza, wachukueni…

Yudithi 15

Ushindi wa Israeli 1 Wanajeshi waliposikia kilichotukia, waliogopa, 2 wakaanza kutetemeka kwa hofu; hakuna aliyemngoja mwenzake; bali kwa nia moja walijaribu kukimbia kwa kupitia njia za milimani na mabondeni. 3…

Yudithi 16

Wimbo wa sifa wa Yudithi 1 Yudithi aliimba: “Msifuni Mungu wangu kwa ngoma, msifuni Bwana wangu kwa matoazi; mwimbieni zaburi na nyimbo za shangwe; mtukuzeni na kumwomba. 2 Maana, Mungu…