Zaburi 1

Furaha ya kweli 1 Heri mtu asiyefuata shauri la waovu, asiyeshiriki njia za wenye dhambi, wala kujumuika na wenye dharau; 2 bali huifurahia sheria ya Mwenyezi-Mungu, na kuitafakari mchana na…

Zaburi 2

Mfalme mteule wa Mungu 1 Kwa nini mataifa yanafanya ghasia? Mbona watu wanafanya njama za bure? 2 Wafalme wa dunia wanajitayarisha; watawala wanashauriana pamoja, dhidi ya Mwenyezi-Mungu na mteule wake….

Zaburi 3

Kuomba msaada asubuhi (Zaburi ya Daudi alipomkimbia Absalomu) 1 Ee Mwenyezi-Mungu, tazama walivyo wengi adui zangu, ni wengi mno hao wanaonishambulia. 2 Wengi wanasema juu yangu, “Hatapata msaada kwa Mungu.”…

Zaburi 4

Kuomba msaada jioni (Kwa Mwimbishaji: Na ala za nyuzi za muziki. Zaburi ya Daudi) 1 Ee Mungu mtetezi wa haki yangu, unijibu niombapo. Nilipokuwa katika shida, wewe ulinisaidia; unionee huruma…

Zaburi 5

Sala wakati wa hatari (Kwa Mwimbishaji: Na filimbi. Zaburi ya Daudi) 1 Usikilize maneno yangu, ee Mwenyezi-Mungu, usikie ninavyopiga kite. 2 Usikilize kilio changu, Mfalme wangu na Mungu wangu, maana…

Zaburi 6

Sala wakati wa taabu (Kwa Mwimbishaji: Na ala za nyuzi za muziki. Mtindo wa Sheminithi. Zaburi ya Daudi) 1 Ee Mwenyezi-Mungu, usinikemee kwa hasira yako; usiniadhibu kwa ghadhabu yako. 2…

Zaburi 7

Sala ya mtu anayedhulumiwa (Ombolezo la Daudi kwa sababu ya Kushi wa kabila la Benyamini) 1 Ee Mwenyezi-Mungu, Mungu wangu, nakimbilia usalama kwako; uniokoe na wote wanaonidhulumu, unisalimishe. 2 La…

Zaburi 8

Utukufu wa Mungu na cheo cha binadamu (Kwa Mwimbishaji: Mtindo wa Gitithi. Zaburi ya Daudi) 1 Ee Mwenyezi-Mungu, Bwana wetu, kweli jina lako latukuka duniani kote! Utukufu wako waenea mpaka…

Zaburi 9

Shukrani kwa Mungu (Kwa Mwimbishaji: Mtindo wa Muth-labeni. Zaburi ya Daudi) 1 Nitakushukuru Mungu kwa moyo wangu wote; nitayasimulia matendo yako yote ya ajabu. 2 Nitafurahi na kushangilia kwa sababu…

Zaburi 10

Sala dhidi ya udhalimu 1 Ee Mwenyezi-Mungu, mbona wasimama mbali? Kwa nini wajificha wakati tumo taabuni? 2 Kwa kiburi waovu wanawatesa maskini; njama zao ziwanase wao wenyewe. 3 Mwovu hujisifia…