Zaburi 101
Mwongozo mzuri wa mfalme (Zaburi ya Daudi) 1 Utenzi wangu kuhusu uaminifu na haki; ninauimba kwa heshima yako, ee Mwenyezi-Mungu. 2 Nitazingatia mwenendo usio na hatia. Je, utakuja kwangu lini?…
Mwongozo mzuri wa mfalme (Zaburi ya Daudi) 1 Utenzi wangu kuhusu uaminifu na haki; ninauimba kwa heshima yako, ee Mwenyezi-Mungu. 2 Nitazingatia mwenendo usio na hatia. Je, utakuja kwangu lini?…
Sala katika taabu (Sala ya mtu aliye katika shida na ambaye anamwekea Mwenyezi-Mungu malalamiko yake) 1 Usikie sala yangu, ee Mwenyezi-Mungu, na kilio changu kikufikie. 2 Usijifiche mbali nami wakati…
Sala kuu ya shukrani (Zaburi ya Daudi) 1 Ee nafsi yangu, umsifu Mwenyezi-Mungu; nafsi yangu yote ilisifu jina lake takatifu! 2 Ee nafsi yangu, umsifu Mwenyezi-Mungu! Usisahau kamwe wema wake…
Kumsifu Muumba 1 Umsifu Mwenyezi-Mungu, ee nafsi yangu! Ee Mwenyezi-Mungu, Mungu wangu, wewe ni mkuu mno! Umejivika utukufu na fahari. 2 Umejizungushia mwanga kama vazi, umezitandaza mbingu kama hema; 3…
Mungu na watu wake 1 Mshukuruni Mwenyezi-Mungu, tangazeni ukuu wake; yajulisheni mataifa mambo aliyotenda! 2 Mshangilieni, mwimbieni Mungu sifa; simulieni matendo yake ya ajabu! 3 Jisifieni jina lake takatifu; wenye…
Wema wa Mungu kwa watu wake 1 Haleluya! Msifuni Mwenyezi-Mungu! Mshukuruni Mwenyezi-Mungu kwa kuwa ni mwema; kwa maana fadhili zake zadumu milele! 2 Ni nani awezaye kutaja matendo ya Mwenyezi-Mungu?…
Sifa kwa Mungu mwema 1 Mshukuruni Mwenyezi-Mungu kwa kuwa ni mwema; kwa maana fadhili zake zadumu milele! 2 Semeni hivyo, enyi mliokombolewa na Mwenyezi-Mungu, watu ambao aliwaokoa katika taabu, 3…
Sala ya kujikinga na maadui (Zaburi ya Daudi: Wimbo) 1 Niko thabiti moyoni, ee Mungu, naam, niko thabiti moyoni; nitaimba na kukushangilia! Amka, ee nafsi yangu! 2 Amkeni enyi kinubi…
Lalamiko la mtu taabuni (Kwa Mwimbishaji. Wimbo wa Daudi) 1 Usinyamaze, ee Mungu ninayekusifu! 2 Watu waovu na wadanganyifu wanishambulia, wanasema uongo dhidi yangu. 3 Wanasema maovu juu yangu, na…
Kutawazwa kwa mfalme mteule (Zaburi ya Daudi) 1 Mwenyezi-Mungu amwambia bwana wangu: “Keti upande wangu wa kulia, hata niwaweke maadui zako chini ya miguu yako.” 2 Mwenyezi-Mungu ataeneza enzi yako…