Zaburi 121
Mungu kinga yetu (Wimbo wa Kwenda Juu, wa Daudi) 1 Natazama juu milimani; msaada wangu utatoka wapi? 2 Msaada wangu watoka kwa Mwenyezi-Mungu, aliyeumba mbingu na dunia. 3 Hatakuacha uanguke;…
Mungu kinga yetu (Wimbo wa Kwenda Juu, wa Daudi) 1 Natazama juu milimani; msaada wangu utatoka wapi? 2 Msaada wangu watoka kwa Mwenyezi-Mungu, aliyeumba mbingu na dunia. 3 Hatakuacha uanguke;…
Sifa za Yerusalemu (Wimbo wa Kwenda Juu, wa Daudi) 1 Nilifurahi waliponiambia: “Twende nyumbani kwa Mwenyezi-Mungu.” 2 Sasa tuko tumesimama, kwenye malango yako, ee Yerusalemu! 3 Yerusalemu, mji uliojengwa, ili…
Kuomba huruma (Wimbo wa Kwenda Juu) 1 Nakutazamia kwa hamu, ee Mwenyezi-Mungu, nakuangalia wewe utawalaye huko juu mbinguni! 2 Kama watumishi wamtegemeavyo bwana wao, kama mjakazi amtegemeavyo bibi yake, ndivyo…
Mungu kinga yetu (Wimbo wa Kwenda Juu, wa Daudi) 1 “Kama Mwenyezi-Mungu asingalikuwa upande wetu Semeni nyote mlio katika Israeli: 2 “Kama Mwenyezi-Mungu asingalikuwa upande wetu, wakati ule tuliposhambuliwa na…
Usalama wa watu wa Mungu (Wimbo wa Kwenda Juu) 1 Wanaomtegemea Mwenyezi-Mungu, wako kama mlima Siyoni, ambao hautikisiki bali wabaki imara daima. 2 Kama Yerusalemu inavyozungukwa na milima, ndivyo Mwenyezi-Mungu…
Kuomba nguvu mpya (Wimbo wa Kwenda Juu) 1 Mwenyezi-Mungu alipoturekebisha na kuturudisha Siyoni, tulikuwa kama watu wanaoota ndoto! 2 Hapo tuliangua kicheko; tulishangilia kwa furaha. Nao watu wa mataifa mengine…
Bila Mungu kazi ya binadamu haifai (Wimbo wa Kwenda Juu, wa Solomoni) 1 Mwenyezi-Mungu asipoijenga nyumba, waijengao wanajisumbua bure. Mwenyezi-Mungu asipoulinda mji, waulindao wanakesha bure. 2 Mnajisumbua bure kuamka mapema…
Tuzo kwa jamaa imchayo Mungu (Wimbo wa Kwenda Juu) 1 Heri wote wamchao Mwenyezi-Mungu, wanaoishi kufuatana na amri zake. 2 Utapata matunda ya jasho lako, utafurahi na kupata fanaka. 3…
Sala dhidi ya maadui wa Israeli (Wimbo wa Kwenda Juu) 1 “Nimesumbuliwa vibaya tangu ujana wangu Kila mtu katika Israeli na aseme: 2 “Nimesumbuliwa vibaya tangu ujana wangu, lakini hawakufaulu…
Kuomba msaada (Wimbo wa Kwenda Juu) 1 Toka upeo wa unyonge wangu, nakulilia, ee Mwenyezi-Mungu. 2 Ee Bwana, sikia sauti yangu, uitegee sikio sauti ya ombi langu. 3 Kama, ee…