Zaburi 131
Kumtumainia Mungu kwa utulivu (Wimbo wa Kwenda Juu, wa Daudi) 1 Ee Mwenyezi-Mungu, sina moyo wa kiburi; mimi si mtu wa majivuno. Sijishughulishi na mambo makuu, au yaliyo ya ajabu…
Kumtumainia Mungu kwa utulivu (Wimbo wa Kwenda Juu, wa Daudi) 1 Ee Mwenyezi-Mungu, sina moyo wa kiburi; mimi si mtu wa majivuno. Sijishughulishi na mambo makuu, au yaliyo ya ajabu…
Sifa ya nyumba ya Mungu (Wimbo wa Kwenda Juu) 1 Ee Mwenyezi-Mungu, mkumbuke Daudi, kumbuka taabu zote alizopata. 2 Ukumbuke ahadi aliyokupa, ee Mwenyezi-Mungu, kiapo alichokuapia, ewe Mwenye Nguvu wa…
Uzuri wa umoja kati ya watu (Wimbo wa Kwenda Juu, wa Daudi) 1 Ni jambo zuri na la kupendeza sana ndugu kuishi pamoja kwa umoja. 2 Ni kama mafuta mazuri…
Msifuni Mungu (Wimbo wa Kwenda Juu) 1 Njoni kumsifu Mwenyezi-Mungu enyi watumishi wake wote, enyi nyote mnaotumikia usiku nyumbani mwake. 2 Inueni mikono kuelekea mahali patakatifu, na kumtukuza Mwenyezi-Mungu! 3…
Sifa kwa Mungu 1 Msifuni Mwenyezi-Mungu! Lisifuni jina la Mwenyezi-Mungu, msifuni enyi watumishi wake. 2 Msifuni enyi mkaao katika nyumba yake, ukumbini mwa nyumba ya Mungu wetu! 3 Msifuni Mwenyezi-Mungu…
Wimbo wa shukrani 1 Mshukuruni Mwenyezi-Mungu kwa kuwa ni mwema; kwa maana fadhili zake zadumu milele. 2 Mshukuruni Mungu wa miungu; kwa maana fadhili zake zadumu milele. 3 Mshukuruni Bwana…
Ombolezo ugenini 1 Kando ya mito ya Babuloni, tulikaa, tukawa tunalia tulipokumbuka Siyoni. 2 Katika miti ya nchi ile, tulitundika zeze zetu. 3 Waliotuteka walitutaka tuwaimbie; watesi wetu walitutaka tuwafurahishe:…
Sala ya shukrani 1 Nakushukuru, ee Mwenyezi-Mungu, kwa moyo wangu wote, naimba sifa zako mbele ya miungu. 2 Ninasujudu kuelekea hekalu lako takatifu; nalisifu jina lako, kwa sababu ya fadhili…
Mungu ajua yote, aongoza yote (Kwa Mwimbishaji. Zaburi ya Daudi) 1 Ee Mwenyezi-Mungu, wewe umenichunguza; wewe wanijua mpaka ndani. 2 Nikiketi au nikisimama, wewe wajua; wajua kutoka mbali kila kitu…
Sala ya kuomba ulinzi wa Mungu (Kwa Mwimbishaji. Zaburi ya Daudi) 1 Ee Mwenyezi-Mungu, uniokoe na watu wabaya, unikinge na watu wakatili. 2 Watu hao huwaza mabaya daima, huzusha magomvi…