Zaburi 141
Hatari za tamaa mbaya (Zaburi ya Daudi) 1 Nakuita, ee Mwenyezi-Mungu, uje haraka kunisaidia! Uisikilize sauti yangu wakati ninapokuita! 2 Sala yangu uipokee kama ubani; niinuapo mikono yangu kwako unikubali…
Hatari za tamaa mbaya (Zaburi ya Daudi) 1 Nakuita, ee Mwenyezi-Mungu, uje haraka kunisaidia! Uisikilize sauti yangu wakati ninapokuita! 2 Sala yangu uipokee kama ubani; niinuapo mikono yangu kwako unikubali…
Dua ya mtu aliyeachwa mpweke (Utenzi wa Daudi alipokuwa pangoni. Sala) 1 Namlilia Mwenyezi-Mungu kwa sauti, namsihi Mwenyezi-Mungu kwa sauti yangu. 2 Namwekea malalamiko yangu, namweleza taabu zangu. 3 Ninapokaribia…
Sala ya kuomba msaada (Zaburi ya Daudi) 1 Usikie sala yangu, ee Mwenyezi-Mungu! Ulitegee sikio ombi langu maana wewe ni mwaminifu; unijibu kwa sababu ya uadilifu wako. 2 Usinitie hukumuni…
Shukrani kwa ushindi (Zaburi ya Daudi) 1 Atukuzwe Mwenyezi-Mungu, mwamba wangu, anayeipa mikono yangu mazoezi ya vita, na kuvifunza vidole vyangu kupigana. 2 Yeye ni rafiki yangu amini na ngome…
Wimbo wa kumsifu Mungu (Wimbo wa sifa wa Daudi) 1 Nitakutukuza, ee Mungu wangu na mfalme wangu; nitalitukuza jina lako daima na milele. 2 Nitakutukuza kila siku; nitalisifu jina lako…
Sifa kwa Mungu Mwokozi 1 Msifuni Mwenyezi-Mungu! Umsifu Mwenyezi-Mungu, ee nafsi yangu! 2 Nitamsifu Mwenyezi-Mungu maisha yangu yote; nitamwimbia Mungu wangu muda wote niishipo. 3 Msiwategemee wakuu wa dunia; hao…
Yafaa kumsifu Mungu 1 Msifuni Mwenyezi-Mungu! Jinsi gani ilivyo vizuri kumwimbia sifa Mungu wetu! Yeye ni mwema na astahili kuimbiwa sifa. 2 Mwenyezi-Mungu anajenga tena mji wa Yerusalemu; anawarudisha Waisraeli…
Ulimwengu wote umsifu Mungu 1 Msifuni Mwenyezi-Mungu! Msifuni Mwenyezi-Mungu kutoka mbinguni, msifuni kutoka huko juu mbinguni. 2 Msifuni, enyi malaika wake wote, msifuni, enyi majeshi yake yote. 3 Msifuni, enyi…
Wimbo wa ushindi 1 Msifuni Mwenyezi-Mungu! Mwimbieni Mwenyezi-Mungu wimbo mpya; msifuni katika kusanyiko la waaminifu! 2 Furahi ee Israeli kwa sababu ya Muumba wako, wakazi wa Siyoni shangilieni kwa sababu…
Zaburi ya kumsifu Mungu 1 Msifuni Mwenyezi-Mungu! Msifuni Mungu katika patakatifu pake; msifuni katika mbingu zake kuu. 2 Msifuni kwa sababu ya matendo yake makuu; msifuni kwa ajili ya utukufu…