Zaburi 11

Kumtumainia Mungu (Kwa Mwimbishaji. Zaburi ya Daudi) 1 Kwake Mwenyezi-Mungu nakimbilia usalama; mnawezaje basi kuniambia: “Ruka kama ndege, mpaka milimani, 2 maana waovu wanavuta pinde; wameweka mishale tayari juu ya…

Zaburi 12

Kuomba msaada (Kwa Mwimbishaji: Mtindo wa Sheminithi. Zaburi ya Daudi) 1 Fanya haraka, ee Mwenyezi-Mungu! Watu wema wamekwisha; waaminifu wametoweka miongoni mwa watu. 2 Kila mmoja humdanganya mwenzake, husema kwa…

Zaburi 13

Kuomba msaada (Kwa Mwimbishaji. Zaburi ya Daudi) 1 Mpaka lini ee Mwenyezi-Mungu, utanisahau? Je, utanisahau mpaka milele? Mpaka lini utanificha uso wako? 2 Nitakuwa na wasiwasi rohoni hadi lini, na…

Zaburi 14

Uovu wa watu (Kwa Mwimbishaji. Zaburi ya Daudi) 1 Wapumbavu hujisemea moyoni: “Hakuna Mungu.” Wote wamepotoka kabisa, wametenda mambo ya kuchukiza; hakuna hata mmoja atendaye jema! 2 Mwenyezi-Mungu anawaangalia wanadamu…

Zaburi 15

Rafiki ya Mungu (Zaburi ya Daudi) 1 Nani ee Mwenyezi-Mungu atakayekaa hemani mwako? Nani atakayeishi juu ya mlima wako mtakatifu? 2 Ni mtu aishiye bila lawama, atendaye daima yaliyo mema,…

Zaburi 16

Kuomba usalama (Utenzi wa Daudi) 1 Unilinde ee Mungu; maana kwako nakimbilia usalama. 2 Namwambia Mungu: “Wewe u Bwana wangu; sina jema lolote ila wewe.” 3 Ni bora sana hao…

Zaburi 17

Sala ya mtu mwema (Sala ya Daudi) 1 Ee Mwenyezi-Mungu usikie kisa changu cha haki, usikilize kilio changu, uitegee sikio sala yangu isiyo na hila. 2 Haki yangu na ije…

Zaburi 18

Utenzi wa ushindi (Kwa Mwimbishaji. Zaburi ya Daudi, mtumishi wa Mungu, aliyomwimbia Mungu wakati alipomwokoa mkononi mwa Shauli na adui wengine) 1 Nakupenda, ee Mwenyezi-Mungu, nguvu yangu! 2 Mwenyezi-Mungu ni…

Zaburi 19

Utukufu wa Mungu katika viumbe (Kwa Mwimbishaji. Zaburi ya Daudi) 1 Mbingu zatangaza utukufu wa Mungu; anga ladhihirisha kazi ya mikono yake. 2 Mchana waupasha habari mchana ufuatao, usiku waufahamisha…

Zaburi 20

Kuomba ushindi (Kwa Mwimbishaji. Zaburi ya Daudi) 1 Mwenyezi-Mungu akujibu uwapo taabuni; jina la Mungu wa Yakobo likulinde. 2 Akupelekee msaada kutoka hekaluni mwake; akutegemeze kutoka mlima Siyoni. 3 Azikumbuke…