Zaburi 21

Shukrani kwa ushindi (Kwa Mwimbishaji. Zaburi ya Daudi) 1 Mfalme ashangilia, ee Mwenyezi-Mungu, kwa nguvu yako, anafurahi mno kwa msaada uliompa. 2 Umemtimizia matakwa ya moyo wake; wala hukumkatalia ombi…

Zaburi 22

Kilio (Kwa Mwimbishaji: Mtindo wa utenzi wa kulungu wa alfajiri. Zaburi ya Daudi) 1 Mungu wangu, Mungu wangu, mbona umeniacha? Mbona uko mbali sana kunisaidia, mbali na maneno ya kilio…

Zaburi 23

Mungu mchungaji wangu (Zaburi ya Daudi) 1 Mwenyezi-Mungu ni mchungaji wangu, sitapungukiwa na kitu. 2 Hunipumzisha kwenye malisho mabichi; huniongoza kando ya maji matulivu, 3 na kuirudishia nafsi yangu nguvu…

Zaburi 24

Mfalme Mkuu (Zaburi ya Daudi) 1 Dunia na vyote vilivyomo ni vyake Mwenyezi-Mungu; ulimwengu na wote waishio humo ni mali yake. 2 Maana yeye aliweka misingi ya dunia juu ya…

Zaburi 25

Kumwomba Mungu uongozi na ulinzi (Zaburi ya Daudi) 1 Ee Mwenyezi-Mungu, kwako naielekeza nafsi yangu! 2 Nakutumainia wewe, ee Mungu wangu, usiniache niaibike; adui zangu wasifurahie kushindwa kwangu. 3 Usimwache…

Zaburi 26

Sala ya mtu mwema (Zaburi ya Daudi) 1 Ee Mwenyezi-Mungu, unitetee, maana nimeishi bila hatia, nimekutumainia wewe bila kusita. 2 Unijaribu, ee Mwenyezi-Mungu, na kunipima; uchunguze moyo wangu na akili…

Zaburi 27

Kwa Mungu kuna usalama (Zaburi ya Daudi) 1 Mwenyezi-Mungu ni mwanga wangu na wokovu wangu, ni nani nitakayemwogopa? Mwenyezi-Mungu ni ngome ya maisha yangu, sitamwogopa mtu yeyote. 2 Waovu wakinishambulia,…

Zaburi 28

Kuomba msaada (Zaburi ya Daudi) 1 Nakulilia, ee Mwenyezi-Mungu! Ewe mwamba wa usalama wangu usiniwie kama kiziwi, la sivyo kama usiponisikiliza, nitakuwa kama wale washukao shimoni kwa wafu. 2 Sikiliza…

Zaburi 29

Sauti ya Mungu katika dhoruba (Zaburi ya Daudi) 1 Mpeni Mwenyezi-Mungu heshima enyi viumbe vya mbinguni, semeni Mwenyezi-Mungu ni mtukufu na mwenye nguvu. 2 Semeni jina la Mwenyezi-Mungu ni tukufu….

Zaburi 30

Sala ya shukrani (Zaburi ya Daudi) 1 Ee Mwenyezi-Mungu, nakutukuza maana umeniokoa, wala hukuwaacha maadui zangu wanisimange. 2 Ee Mwenyezi-Mungu, Mungu wangu, nilikulilia msaada, nawe ukaniponya. 3 Ee Mwenyezi-Mungu, umeniokoa…