Zaburi 41

Sala ya mgonjwa (Kwa Mwimbishaji. Zaburi ya Daudi) 1 Heri mtu anayewajali maskini; Mwenyezi-Mungu atamwokoa wakati wa shida. 2 Mwenyezi-Mungu atamlinda na kumweka hai, naye atafanikiwa katika nchi; Mungu hatamwacha…

Zaburi 42

Sala ya Mkimbizi (Kwa Mwimbishaji. Utenzi wa Wakorahi) 1 Kama paa atamanivyo maji ya kijito, ndivyo ninavyokutamani, ee Mungu wangu! 2 Naona kiu ya Mungu, kiu ya Mungu aliye hai….

Zaburi 43

Sala ya mkimbizi yaendelea (Zaburi ya 42 yaendelea) 1 Onesha kuwa sina hatia ee Mungu; utetee kisa changu dhidi ya watu wabaya; uniokoe na watu waongo na waovu. 2 Nakimbilia…

Zaburi 44

Sala ya kuomba ulinzi wa Mungu (Kwa Mwimbishaji. Utenzi wa Wakorahi) 1 Ee Mungu, sisi tumesikia kwa masikio yetu, wazee wetu wametusimulia mambo uliyotenda nyakati zao, naam, mambo uliyotenda hapo…

Zaburi 45

Utenzi wa kumsifu mfalme (Kwa Mwimbishaji: Mtindo wa Yungiyungi. Utenzi wa Wakorahi; utenzi wa mapenzi) 1 Moyo wangu umejaa mawazo mema: Namtungia mfalme shairi langu, ulimi wangu ni kama kalamu…

Zaburi 46

Mungu yuko upande wetu (Kwa Mwimbishaji. Zaburi ya Wakorahi. Mtindo wa Alamothi) 1 Mungu ni kimbilio letu na nguvu yetu; yeye ni msaada wetu daima wakati wa taabu. 2 Kwa…

Zaburi 47

Mungu, Mfalme wa ulimwengu wote (Kwa Mwimbishaji. Zaburi ya Wakorahi) 1 Enyi watu wote, pigeni makofi! Msifuni Mungu kwa sauti za shangwe! 2 Maana Mwenyezi-Mungu, Mungu Mkuu, anatisha. Yeye ni…

Zaburi 48

Siyoni mji wa Mungu (Kwa Mwimbishaji. Zaburi ya Wakorahi) 1 Mwenyezi-Mungu, ni mkuu; astahili kusifiwa sana katika mji wake na mlima wake mtakatifu. 2 Mlima Siyoni huko kaskazini, wapendeza kwa…

Zaburi 49

Upumbavu wa kutegemea mali (Kwa Mwimbishaji. Zaburi ya Wakorahi) 1 Sikieni jambo hili enyi watu wote! Tegeni sikio enyi wakazi wote wa dunia; 2 sikilizeni nyote, wakubwa kwa wadogo, matajiri…

Zaburi 50

Ibada ya kweli (Zaburi ya Asafu) 1 Mungu wa nguvuMwenyezi-Mungu, amenena, amewaita wakazi wa dunia, tokea mawio ya jua hadi machweo yake. 2 Kutoka Siyoni, mji mzuri mno, Mungu anajitokeza,…