Zaburi 51
Kuomba msamaha (Kwa Mwimbishaji. Zaburi ya Daudi baada ya kukemewa na nabii Nathani kwa kosa lake na Bathsheba) 1 Nihurumie, Ee Mungu, kadiri ya fadhili zako; ufutilie mbali makosa yangu,…
Kuomba msamaha (Kwa Mwimbishaji. Zaburi ya Daudi baada ya kukemewa na nabii Nathani kwa kosa lake na Bathsheba) 1 Nihurumie, Ee Mungu, kadiri ya fadhili zako; ufutilie mbali makosa yangu,…
Hukumu ya Mungu (Kwa Mwimbishaji. Utenzi wa Daudi baada ya Doegi, Mwedomu, kumwendea Shauli na kumjulisha kuwa Daudi amekwenda nyumbani kwa Abimeleki) 1 Mbona, ewe jitu, wajivunia ubaya wako dhidi…
Mtu asiyemcha Mungu (Kwa Mwimbishaji: Mtindo wa Mahalathi. Utenzi wa Daudi) 1 Wapumbavu hujisemea moyoni: “Hakuna Mungu!” Wote wamepotoka kabisa, wametenda mambo ya kuchukiza; hakuna hata mmoja atendaye jema. 2…
Sala ya kujikinga na maadui (Kwa Mwimbishaji: Na ala za nyuzi za muziki. Utenzi wa Daudi wakati mtu mmoja kutoka Zifu alipomwendea Shauli na kumjulisha kuwa Daudi amejificha kwao.) 1…
Sala ya mtu anayedhulumiwa (Kwa Mwimbishaji: Na ala za nyuzi za muziki. Utenzi wa Daudi) 1 Ee Mungu, tega sikio usikie sala yangu; usiangalie pembeni ninapokuomba. 2 Unisikilize na kunijibu;…
Kumtumainia Mungu (Kwa Mwimbishaji: Mtindo “Njiwa Mkimya wa Mbali”. Utenzi wa Daudi baada ya kukamatwa na Wafilisti kule Gathi) 1 Ee Mungu, unionee huruma, maana watu wananishambulia. Mchana kutwa maadui…
Kuomba msaada (Kwa Mwimbishaji: Mtindo “Usiharibu!” Utenzi wa Daudi alipomponyoka Shauli na kujificha pangoni) 1 Unihurumie, ee Mungu, unihurumie, maana kwako nakimbilia usalama. Kivulini mwa mabawa yako nitakimbilia usalama, hata…
Mungu hakimu wa mahakimu (Kwa Mwimbishaji: Mtindo “Usiharibu”. Utenzi wa Daudi) 1 Enyi watawala,je, mwahukumu kwa haki kweli? Je, mnawahukumu watu kwa adili? 2 La! Nyinyi mwafikiria tu kutenda maovu;…
Sala ya kuomba ulinzi wa Mungu (Kwa Mwimbishaji: Mtindo “Usiharibu”. Utenzi wa Daudi wakati Shauli alipotuma wapelelezi wamuue) 1 Ee Mungu wangu, uniokoe na maadui zangu; unikinge na hao wanaonishambulia….
Ushindi baada ya kushindwa (Kwa Mwimbishaji: Mtindo wa Shushani Edut. Utenzi wa Daudi wa kufundisha, wakati alipopigana na Waaramu kutoka Naharaimu na Zoba, Yoabu aliporudi nyuma na kuwaua Waedomu 12,000…