Zaburi 61
Kuomba ulinzi (Kwa Mwimbishaji: Na ala za nyuzi za muziki. Zaburi ya Daudi) 1 Ee Mungu, usikie kilio changu, usikilize sala yangu. 2 Ninakulilia kutoka miisho ya dunia, nikiwa nimevunjika…
Kuomba ulinzi (Kwa Mwimbishaji: Na ala za nyuzi za muziki. Zaburi ya Daudi) 1 Ee Mungu, usikie kilio changu, usikilize sala yangu. 2 Ninakulilia kutoka miisho ya dunia, nikiwa nimevunjika…
Mungu mlinzi wangu (Kwa Mwimbishaji: Mtindo wa Yeduthuni. Zaburi ya Daudi) 1 Namngojea Mungu peke yake kwa utulivu, kwake watoka wokovu wangu. 2 Yeye peke yake ndiye mwamba na wokovu…
Hamu ya kuwa pamoja na Mungu (Zaburi ya Daudi wakati alipokuwa katika jangwa la Yudea) 1 Ee Mungu, wewe u Mungu wangu, nami nakutafuta kwa moyo; roho yangu inakutamani kama…
Sala ya kuomba ulinzi wa Mungu (Kwa Mwimbishaji. Zaburi ya Daudi) 1 Usikie, ee Mungu, lalamiko langu; yalinde maisha yangu na vitisho vya maadui. 2 Unikinge na njama za waovu,…
Wimbo wa shukrani (Kwa Mwimbishaji. Zaburi ya Daudi: Wimbo) 1 Wastahili sifa, ee Mungu, huko Siyoni, watu watakutimizia wewe ahadi zao, 2 maana wewe wajibu sala zetu. Binadamu wote watakujia…
Wimbo wa shukrani (Kwa Mwimbishaji. Wimbo. Zaburi) 1 Enyi watu wote duniani mshangilieni Mungu! 2 Imbeni juu ya utukufu wa jina lake, mtoleeni sifa tukufu! 3 Mwambieni Mungu: “Matendo yako…
Wimbo wa shukrani (Kwa Mwimbishaji: Na ala za nyuzi za muziki. Zaburi. Wimbo) 1 Utuonee huruma, ee Mungu, utubariki; utuelekezee uso wako kwa wema; 2 dunia yote ipate kutambua njia…
Wimbo wa ushindi (Kwa Mwimbishaji. Zaburi ya Daudi) 1 Mungu ainuka, na maadui zake watawanyika; wanaomchukia wakimbia mbali naye! 2 Kama moshi unavyopeperushwa na upepo, ndivyo anavyowapeperusha; kama nta inavyoyeyuka…
Maombolezo (Kwa Mwimbishaji: Mtindo wa Yungiyungi. Zaburi ya Daudi) 1 Uniokoe, ee Mungu; maji yamenifika shingoni. 2 Ninazama ndani ya matope makuu, hamna hata mahali pa kuweka miguu. Nimetumbukia kwenye…
Kuomba msaada (Kwa Mwimbishaji. Zaburi ya Daudi ya matoleo ya ukumbusho) 1 Upende kuniokoa ee Mungu! Ee Mwenyezi-Mungu, uje haraka kunisaidia. 2 Wanaonuia kuniangamiza, na waaibike na kufedheheka! Hao wanaotamani…