Zaburi 71

Mungu tumaini la wazee 1 Kwako ee Mwenyezi-Mungu, nakimbilia usalama; kamwe usiniache niaibike! 2 Kwa uadilifu wako uniokoe na kunisalimisha; unitegee sikio lako na kuniokoa! 3 Uwe mwamba wangu wa…

Zaburi 72

Kumwombea mfalme (Zaburi ya Solomoni) 1 Ee Mungu, umjalie mfalme uamuzi wako, umpe mwanamfalme uadilifu wako; 2 atawale taifa lako kwa haki, na maskini wako kwa uadilifu. 3 Milima ilete…

Zaburi 73

Haki itatawala (Zaburi ya Asafu) 1 Hakika, Mungu ni mwema kwa watu wanyofu; ni mwema kwa walio safi moyoni. 2 Karibu sana ningejikwaa, kidogo tu ningeteleza; 3 maana niliwaonea wivu…

Zaburi 74

Ombolezo juu ya kubomolewa hekalu (Utenzi wa Asafu) 1 Kwa nini, ee Mungu, umetutupa kabisa? Mbona hasira yako inawaka dhidi ya kondoo wako! 2 Kumbuka jumuiya yako uliyojipatia tangu kale,…

Zaburi 75

Mungu hakimu (Kwa Mwimbishaji: Mtindo “Usiharibu”. Zaburi ya Asafu. Wimbo) 1 Tunakushukuru, ee Mungu, tunakushukuru! Tunatangaza ukuu wa jina lako na kusimulia juu ya matendo yako makuu. 2 Mungu asema:…

Zaburi 76

Mungu mshindi (Kwa Mwimbishaji: Na ala za nyuzi za muziki. Zaburi ya Asafu. Wimbo) 1 Mungu anajulikana katika Yuda; jina lake ni kuu katika Israeli. 2 Makao yake yamo huko…

Zaburi 77

Faraja wakati wa shida (Kwa Mwimbishaji: Mtindo wa Yeduthuni. Zaburi ya Asafu) 1 Namlilia Mungu kwa sauti, kwa sauti namlilia Mungu anisikie. 2 Wakati wa taabu namwomba Bwana; namnyoshea mikono…

Zaburi 78

Mungu na watu wake (Utenzi wa Asafu) 1 Sikieni mafundisho yangu, enyi watu wangu; yategeeni sikio maneno ya kinywa changu. 2 Nitasema nanyi kwa mafumbo, nitasema mambo yaliyofichika tangu kale;…

Zaburi 79

Wakati wa maafa ya taifa (Zaburi ya Asafu) 1 Ee Mungu, watu wasiokujua wameivamia nchi yako. Wamelitia najisi hekalu lako takatifu, na kuufanya mji wa Yerusalemu kuwa magofu. 2 Wameacha…

Zaburi 80

Maombi kwa ajili ya taifa (Kwa Mwimbishaji: Mtindo wa Yungiyungi. Zaburi ya Asafu) 1 Utege sikio, ewe Mchungaji wa Israeli, uwaongozaye wazawa wa Yosefu kama kondoo. Ewe ukaaye juu ya…