Zaburi 81
Wimbo wa sikukuu (Kwa Mwimbishaji: Mtindo wa Gitithi. Zaburi ya Asafu) 1 Mwimbieni kwa sauti Mungu, nguvu yetu, mshangilieni Mungu wa Yakobo; 2 vumisheni wimbo wa shangwe, pigeni ngoma, chezeni…
Wimbo wa sikukuu (Kwa Mwimbishaji: Mtindo wa Gitithi. Zaburi ya Asafu) 1 Mwimbieni kwa sauti Mungu, nguvu yetu, mshangilieni Mungu wa Yakobo; 2 vumisheni wimbo wa shangwe, pigeni ngoma, chezeni…
Mungu mtawala mkuu (Zaburi ya Asafu) 1 Mungu anasimamia baraza lake; anatoa hukumu katika kusanyiko la miungu: 2 “Mpaka lini mtaendelea kuhukumu bila haki na kuwapendelea watu waovu? 3 Wapeni…
Sala dhidi ya adui za Israeli (Zaburi ya Asafu. Wimbo) 1 Ee Mungu, usikae kimya! Usinyamaze ee Mungu, wala usitulie! 2 Tazama! Maadui zako wanafanya ghasia; wanaokuchukia wanainua vichwa kwa…
Hamu ya kuwa nyumbani kwa Mungu (Kwa Mwimbishaji: Mtindo wa Gitithi. Zaburi ya Wakorahi) 1 Jinsi gani yanavyopendeza makao yako, ee Mwenyezi-Mungu wa majeshi! 2 Nafsi yangu yatamani mno maskani…
Kuliombea fanaka taifa (Kwa Mwimbishaji. Zaburi ya Wakorahi) 1 Ee Mwenyezi-Mungu, umeifadhili nchi yako; umemjalia Yakobo bahati nzuri tena. 2 Umewasamehe watu wako kosa lao; umezifuta dhambi zao zote. 3…
Kuomba msaada (Sala ya Daudi) 1 Unitegee sikio, ee Mwenyezi-Mungu, unijibu, maana mimi ni fukara na mnyonge. 2 Uyahifadhi maisha yangu maana mimi ni mchaji wako; uniokoe mimi mtumishi wako…
Sifa ya Yerusalemu (Zaburi ya Wakorahi. Wimbo) 1 Mungu amejenga mji wake juu ya mlima wake mtakatifu. 2 Mwenyezi-Mungu anaupenda mji wa Siyoni, kuliko makao mengine ya Yakobo. 3 Mambo…
Kilio cha msaada (Wimbo. Zaburi ya Wakorahi. Kwa Mwimbishaji: Mtindo wa Mahalathi Nealothi. Utenzi wa Hemani Mwezrahi) 1 Ee Mwenyezi-Mungu, mwokozi wangu, ninalia mchana kutwa, na usiku nakulalamikia. 2 Sala…
Wakati wa taabu ya kitaifa (Utenzi wa Ethani Mwezrahi) 1 Ee Mwenyezi-Mungu, nitaimba fadhili zako milele; nitavitangazia vizazi vyote uaminifu wako. 2 Natamka kuwa fadhili zako zadumu milele; uaminifu wako…
Mungu wa milele na binadamu kiumbe (Sala ya Mose, mtu wa Mungu) 1 Ee Bwana, tangu vizazi vyote, wewe umekuwa usalamawetu. 2 Kabla ya kuwapo milima, kabla hujauumba ulimwengu; wewe…