Zekaria 1
Mungu anawaita watu wake wamrudie 1 Mnamo mwezi wa nane wa mwaka wa pili wa utawala wa mfalme Dario wa Persia, neno la Mwenyezi-Mungu lilimjia nabii Zekaria mwana wa Berekia,…
Mungu anawaita watu wake wamrudie 1 Mnamo mwezi wa nane wa mwaka wa pili wa utawala wa mfalme Dario wa Persia, neno la Mwenyezi-Mungu lilimjia nabii Zekaria mwana wa Berekia,…
Maono ya tatu: Kamba ya kupimia 1 Katika maono mengine, nilimwona mtu aliyekuwa na kamba ya kupimia mkononi mwake. 2 Basi, nikamwuliza, “Unakwenda wapi?” Naye akanijibu, “Ninakwenda kuupima urefu na…
Maono ya nne: Kuhani mkuu Yoshua 1 Katika maono mengine, Mwenyezi-Mungu alinionesha kuhani mkuu Yoshua amesimama mbele ya malaika wa Mwenyezi-Mungu, na upande wake wa kulia amesimama Shetani kumshtaki. 2…
Maono ya tano: Kinara cha taa 1 Yule malaika aliyeongea nami, akanijia tena, akaniamsha kama kumwamsha mtu usingizini. 2 Akaniuliza, “Unaona nini?” Nami nikamjibu, “Ninaona kinara cha taa cha dhahabu….
Maono ya sita: Kitabu kinachoruka 1 Nilipotazama tena niliona kitabu kinaruka angani. 2 Yule malaika akaniuliza, “Unaona nini?” Nami nikamjibu, “Ninaona kitabu kinaruka angani; urefu wake ni mita tisa na…
Maono ya nane: Magari ya farasi 1 Niliona maono mengine tena. Safari hii, niliona magari manne ya farasi yakitoka katikati ya milima miwili ya shaba nyeusi. 2 Gari la kwanza…
Suala la kufunga 1 Mnamo mwaka wa nne wa utawala wa mfalme Dario, siku ya nne ya mwezi wa tisa, yaani Kislevu, neno la Mwenyezi-Mungu lilinijia mimi Zekaria. 2 Watu…
Yerusalemu utakuwa tena mji wa amani 1 Neno la Mwenyezi-Mungu wa majeshi likanijia mimi Zekaria: 2 “Ninawaka upendo mkuu kwa ajili ya Siyoni, na ninawaka ghadhabu nyingi dhidi ya adui…
Hukumu juu ya mataifa jirani 1 Kauli ya Mwenyezi-Mungu: Mwenyezi-Mungu ametamka siyo tu dhidi ya nchi ya Hadraki bali pia dhidi ya Damasko. Maana nchi ya Aramu ni mali ya…
Mungu anaahidi ukombozi 1 Mwombeni Mwenyezi-Mungu awape mvua za masika. Mwenyezi-Mungu ndiye aletaye mawingu ya mvua; ndiye awapaye watu mvua za rasharasha, na kustawisha mimea shambani kwa ajili ya wote….