Sira 33
1 Hakuna baa lolote litakalompata mtu amchaye Bwana; wakati wa majaribu Bwana atamwokoa tena na tena. 2 Mwenye hekima hataichukia sheria, lakini mnafiki juu ya sheria ni kama mashua kwenye…
1 Hakuna baa lolote litakalompata mtu amchaye Bwana; wakati wa majaribu Bwana atamwokoa tena na tena. 2 Mwenye hekima hataichukia sheria, lakini mnafiki juu ya sheria ni kama mashua kwenye…
Ndoto hazina maana 1 Mtu mjinga huwa na matumaini ya bure na ya uongo; ndoto humpa mpumbavu mabawa ya kuruka. 2 Kama mtu anayejaribu kushika kivuli na kufukuza upepo ndivyo…
1 Anayeishika sheria ametoa sadaka nyingi. 2 Anayezifuata amri ametoa sadaka za amani. 3 Anayerudisha shukrani anatoa sadaka ya nafaka safi; 4 naye anayemsaidia maskini anatoa sadaka ya shukrani. 5…
Sala kwa ajili ya Israeli 1 Utuhurumie ee Bwana Mungu wa wote; Yafanye mataifa yote yakuogope. Inua mkono wako dhidi ya mataifa mengine, 2 uyafanye yauone uwezo wako mkuu. 3…
1 Kila mtu anaweza kudai, “Mimi pia ni rafiki yako.” Lakini rafiki wengine ni rafiki kwa jina tu. 2 Je, si pigo la kifo ndugu au rafiki akiwa adui? 3…
Dawa na ugonjwa 1 Mpe daktari heshima anayostahili, kwa sababu ya huduma zake kwako, kwa vile naye aliumbwa na Bwana. 2 Maana kipaji chake cha kuponya chatoka kwa Mungu Mkuu;…
1 Lakini anayepania kujifunza sheria ya Mungu Mkuu, hutafuta hekima ya watu wa kale, na kushughulikia waliyosema manabii. 2 Huyahifadhi mazungumzo ya watu mashuhuri, na kupambanua magumu ya mifano. 3…
Unyonge wa binadamu 1 Majukumu magumu yaliumbwa kwa ajili ya binadamu wote, mzigo mzito uko juu ya wanaadamu tangu walipozaliwa mpaka watakaporudi kwao mavumbini, ambayo ni mama wa watu wote….
Kifo 1 Ewe kifo! Kukukumbuka ni uchungu mkubwa, kwa mtu anayeishi kwa amani na mali zake; kwa mtu asiye na wasiwasi, anayefanikiwa kila kitu, na aliye bado na nguvu za…
Kuona fahari 1 Haya ndiyo mambo ambayo hutaona haya kutenda, wala usitende dhambi kwa kuogopa watu watasema nini: 2 Usione haya kufuata sheria ya Mungu Mkuu na agano lake, usione…