Sira 43

Jua 1 Fahari ya huko juu ni uangavu wa anga lake; anga laonekana kumetameta kwa fahari yake. 2 Jua litokezapo linatangaza likingaa. Hilo ni kitu cha ajabu alichoumba Mungu Mkuu….

Sira 44

Sifa kwa wazee 1 Sasa, na tuwasifu watu mashuhuri, wazee wetu na vizazi vilivyopita. 2 Bwana aliwapa fahari kubwa, akawafanya wakuu tangu siku za kale. 3 Walikuwako wale waliotawala falme…

Sira 45

Mose 1 Kutoka wazawa wa Yakobo Bwana akamtokeza mtu mwema aliyepata kibali mbele ya watu wote, akapendwa na Mungu na watu. Huyo alikuwa Mose ambaye ni furaha kumkumbuka. 2 Bwana…

Sira 46

Yoshua 1 Yoshua, mwana wa Nuni alikuwa shujaa vitani, na alimfuata Mose katika unabii. Alikuwa, kama jina lake, mkombozi mkubwa wa wateule wa Mungu, akawalipiza kisasi adui waliopigana nao, ili…

Sira 47

Nathani 1 Baada yake alitokea Nathani; yeye alikuwa nabii siku za Daudi. Daudi 2 Kama vile mafuta ya tambiko ya amani yanavyochaguliwa na kutengwa kwa ajili ya Bwana, ndivyo na…

Sira 48

Elia 1 Kisha alizuka nabii Elia kama moto; na maneno yake yaliwaka kama mwenge. 2 Aliwaletea watu njaa, na kwa bidii yake ya kumpenda Mungu akawafanya wawe wachache. 3 Kwa…

Sira 49

Yosia 1 Kumkumbuka Yosia ni kama mchanganyiko wa ubani, ambao umechanganywa na fundi stadi, ni mtamu kama asali kwa kila mtu, ni kama muziki kwenye karamu ya pombe. 2 Aliongozwa…

Sira 50

Simoni 1 Aliyekuwa mkuu wa ndugu zake na fahari ya watu wake, ni Simoni, kuhani mkuu, mwana wa Onia. Katika maisha yake alilijenga upya hekalu, na kulijengea ngome. 2 Aliweka…

Sira 51

Utenzi wa shukrani 1 Nakushukuru, ee Bwana na Mfalme, nakusifu, ee Mungu, Mwokozi wangu. Nalitukuza jina lako. 2 Maana wewe umekuwa mlinzi na msaidizi wangu. Umeukomboa mwili wangu kutoka kwenye…

Baruku 1

Shabaha ya kitabu hiki 1 Haya ni maneno yaliyoandikwa na Baruku mwana wa Neria, mjukuu wa Maaseya, wa ukoo wa Sedekia, Hasadia na Hilkia. Baruku aliandika haya huko Babuloni 2…