Baruku 2

1 “Kwa hiyo, Bwana ametekeleza sasa jambo lile alilotamka dhidi yetu, na dhidi ya mahakimu wetu wanaoongoza Israeli, dhidi ya wafalme wetu, wakuu wetu na watu wa Israeli na Yuda….

Baruku 3

1 “Ee Bwana, Mungu Mwenye Nguvu, Mungu wa Israeli, tunakulilia wewe kwa moyo uliotaabika na hoi. 2 Usikilize ee Bwana, na utuhurumie, maana sisi tumetenda dhambi mbele yako. 3 Wewe…

Baruku 4

1 Hekima ni kitabu cha amri za Mungu, yeye ni sheria idumuyo milele. Wanaomshikilia Hekima wataishi, lakini watakaomwacha watakufa. 2 Geuka, ewe Yakobo, umchukue Hekima; tembea kuelekea mng’ao wa mwanga…

Baruku 5

1 Ee Yerusalemu, vua vazi lako la huzuni na mateso, ukavae milele uzuri wa utukufu wa Mungu. 2 Jivike joho la uadilifu utokao kwa Mungu; vaa kichwani taji la utukufu…

Baruku 6

Barua ya Yeremia 1 Hii ni nakala ya barua ambayo Yeremia aliwapelekea Waisraeli, muda mfupi tu kabla ya kuchukuliwa kwao mateka huko Babuloni na mfalme wa Babuloni. Barua yenyewe ina…

1 Wamakabayo 1

Aleksanda Mkuu 1 Aleksanda wa Makedonia, mwana wa Filipo, aliyetoka nchini Kitimu, alimshambulia na kumshinda Dario, mfalme wa Persia na Media, akawa mfalme badala yake. Wakati huo Aleksanda alikwisha kuwa…

1 Wamakabayo 2

Uaminifu wa Matathia 1 Wakati huo, Matathia mwana wa Yohane na mjukuu wa Simeoni, kuhani wa ukoo wa Yoaribu, alitoka Yerusalemu akaenda kukaa Modeini. 2 Alikuwa na watoto watano wa…

1 Wamakabayo 3

Ushindi wa awali wa Yuda 1 Yuda Makabayo akachukua nafasi ya baba yake, Matathia, akawa kamanda wa jeshi. 2 Ndugu zake wote na wafuasi amini wa baba yake wakamuunga mkono,…

1 Wamakabayo 4

1 Gorgia akawachukua askari wa miguu 5,000 na wapandafarasi wenye uzoefu 1,000, akatoka nao usiku 2 kwenda kulishambulia ghafla jeshi la Wayahudi; walioongoza njia walikuwa walinzi wa ngome ya Yerusalemu….

1 Wamakabayo 5

Vita na mataifa jirani 1 Mataifa jirani yaliposikia kwamba Wayahudi walikuwa wamejenga upya madhabahu na hekalu limewekwa wakfu kama kwanza yaliwaka hasira, 2 yakaamua kuwaangamiza wazawa wa Yakobo waliokuwa wanaishi…