2 Wamakabayo 10
Kutakaswa hekalu 1 Yuda Makabayo na wafuasi wake, chini ya uongozi wa Bwana, walitwaa tena hekalu na mji wa Yerusalemu. 2 Wakazibomolea mbali madhabahu zilizokuwa zimejengwa na wageni sokoni, wakapaharibu…
Kutakaswa hekalu 1 Yuda Makabayo na wafuasi wake, chini ya uongozi wa Bwana, walitwaa tena hekalu na mji wa Yerusalemu. 2 Wakazibomolea mbali madhabahu zilizokuwa zimejengwa na wageni sokoni, wakapaharibu…
Yuda Makabayo amshinda Lisia 1 Mara baada ya hayo, si muda mrefu baada ya Timotheo kushindwa, Lisia, mlinzi na ndugu ya mfalme na mkuu wa serikali, alipata habari hizo. Alikasirika…
Wayahudi wa Yopa wauawa 1 Makubaliano ya amani kati ya Wayahudi na Wasiria yalipokamilika, Lisia alirejea kwa mfalme na Wayahudi wakarudia kazi zao za shambani. 2 Lakini baadhi ya wakuu…
Menelao auawa 1 Mwaka 149,Yuda Makabayo na wafuasi wake walipata habari kwamba Antioko Eupatori alikuwa anakuja na jeshi kubwa kuikabili Yudea, 2 na kwamba Lisia, yule mlinzi wa mfalme na…
Alkimo amsengenya Yuda 1 Miaka mitatu baadaye, Yuda na watu wake walipata habari kwamba Demetrio, mwana wa Seleuko alikuwa ameingia bandarini Tripoli akiwa na jeshi lenye nguvu na msururu wa…
Mpango wa kikatili wa Nikanori 1 Nikanori aliposikia kwamba Yuda na watu wake walikuwa sehemu za Samaria, alifanya mpango kuwashambulia siku ya Sabato, wakati ambapo walikuwa wamepumzika. 2 Wayahudi waliokuwa…
Ukoo wa Yesu Kristo 1 Yesu Kristo alikuwa wa ukoo wa Daudi, wa ukoo wa Abrahamu. Hii ndiyo orodha ya ukoo wake: 2 Abrahamu alimzaa Isaka, Isaka alimzaa Yakobo, Yakobo…
Wageni kutoka mashariki 1 Yesu alizaliwa mjini Bethlehemu, mkoani Yudea, wakati Herode alipokuwa mfalme. Punde tu baada ya kuzaliwa kwake, wataalamu wa nyota kutoka mashariki walifika Yerusalemu, 2 wakauliza, “Yuko…
Mahubiri ya Yohane Mbatizaji 1 Siku zile Yohane Mbatizaji alitokea, akaanza kuhubiri katika jangwa la Yudea: 2 “Tubuni, maana ufalme wa mbinguni umekaribia.” 3 Huyu Yohane ndiye yule ambaye nabii…
Kujaribiwa kwa Yesu 1 Kisha Roho alimwongoza Yesu mpaka jangwani ili ajaribiwe na Ibilisi. 2 Akafunga siku arubaini mchana na usiku, na mwishowe akaona njaa. 3 Basi, mshawishi akamjia, akamwambia,…