Mathayo 25

Mfano wa wasichana kumi 1 “Wakati huo, ufalme wa mbinguni utafanana na wasichana kumi waliochukua taa zao, wakaenda kumlaki bwana arusi. 2 Watano miongoni mwao walikuwa wapumbavu na watano walikuwa…

Mathayo 26

Mpango wa kumuua Yesu 1 Yesu alipomaliza kusema hayo yote, aliwaambia wanafunzi wake, 2 “Mnajua kwamba baada ya siku mbili tutakuwa na sikukuu ya Pasaka, na Mwana wa Mtu atatolewa…

Mathayo 27

Yesu anapelekwa kwa Pilato 1 Kulipopambazuka, makuhani wakuu wote na wazee wa watu walifanya mashauri juu ya Yesu wapate kumuua. 2 Wakamfunga pingu, wakamchukua, wakamkabidhi kwa Pilato, mkuu wa mkoa….

Mathayo 28

Kufufuka kwa Yesu 1 Baada ya Sabato, karibu na mapambazuko ya siku ile ya Jumapili, Maria Magdalene na yule Maria mwingine walikwenda kutazama lile kaburi. 2 Ghafla kukatokea tetemeko kubwa…

Marko 1

Mahubiri ya Yohane Mbatizaji 1 Habari Njema ya Yesu Kristo, Mwana wa Mungu. 2 Ilianza kama ilivyoandikwa katika kitabu cha nabii Isaya: “Mungu alisema, ‘Namtuma mjumbe wangu akutangulie, ambaye atakutayarishia…

Marko 2

Yesu anamponya mtu aliyepooza 1 Baada ya siku kadhaa, Yesu alirudi Kafarnaumu, watu wakapata habari kwamba alikuwa nyumbani. 2 Basi, wakaja watu wengi sana hata nafasi yoyote ikakosekana mlangoni. Yesu…

Marko 3

Yesu anamponya mwenye mkono uliopooza 1 Yesu aliingia tena katika sunagogi na mle ndani mlikuwa na mtu aliyekuwa na mkono uliopooza. 2 Humo, baadhi ya watu walimngojea amponye mtu huyo…

Marko 4

Mfano wa mpanzi 1 Yesu alianza kufundisha tena akiwa kando ya ziwa. Umati mkubwa wa watu ulimzunguka hata ikambidi aingie katika mashua na kuketi. Watu wote wakawa wamekaa katika nchi…

Marko 5

Yesu anamponya mtu mwenye pepo wachafu 1 Basi, wakafika katika nchi ya Wagerase, ngambo ya ziwa. 2 Mara tu Yesu aliposhuka mashuani, mtu mmoja aliyepagawa na pepo mchafu alitoka makaburini,…

Marko 6

Yesu anakataliwa huko Nazareti 1 Yesu aliondoka hapo akaenda katika kijiji chake, akifuatwa na wanafunzi wake. 2 Siku ya Sabato ilipofika, alianza kufundisha katika sunagogi. Wengi waliomsikia walishangaa, wakasema, “Je,…